Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa Kikeke siyo CHAWA wa hedi kama wewe?!!Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
Hahaha ndio ni majirani ndio maan tulikuona ukishuka chumbani kwa Pdiddy ukitembea umetanua miguu😂Nyie na Lema ndio majirani wa Pdiddy
Hasa hili li gasho lililofungua uziNchi imejaa machawa hii hadi inatia hasira...Mtu akiwa na mawazo tofauti tu na Wana kijani ni pandikizi ama muhuni na mleta fujo ...Hebu acheni upuuzi nchi haitaenda tukiwa watu wakusifu sifu tu.Kwenye kusifu tusifu penye kosa tuseme.
Punguza kupanick dogo.Mumeo ndio yuko uchi
Wewe unataka vyombo vyote vya habari, vitangaze ki-TBC-CCM??😳Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
Umelogeka au Ni maksudiJitahidi uwe na akili, kwani Code ya kofia mlidhani hatutaijua
Hivi Tanzania tunamiliki satellite hata moja ? Kama hatuna, vipi wenye nazo wakiziset kwetu Tanzania si wataona mpaka vya sirini ?Mumeo ndio yuko uchi
Mswahili hata ufanye lipi ataongea tu hata asiyokuwa na uhakika nayoHilo ndo tatizo letu waswahili hampendi kuona ufanisi .
Yeah..sio vibaya kumshitukia maana hao waajiri wake wa zamani wanajitahidi kua kama ni ndio radio yetu ya taifa. Ukisikiliza kile wanatuletea utajua malengo yao.Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
Wewe ndiyo unaanza kutomuamini sasa? Sisi wengine tulishamtolea nje zamani tu, toka wakati ule yeye na Zuhura wanaendesha kampeni dhidi ya shujaa wetu.Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani