Inawezekana kipindi cha Mkapa ndio ujambazi mkubwa ulitamalaki

Mkuu huko kwa hao fedha zilizopo ni kidogo tofauti na kwenye mabenki au utekaji wa magari
Kwasasa kukuta wakala wa huduma za kifedha ana mtaji wa zaidi ya milioni 20 au zaidi ni kitu cha kawaida. Hata tukisema fedha imeshuka thamani, zamani ukiwa na milioni pekee unaishi kwa kuificha.

Siku hizi hata vibaka wanaokaba watu, wanafanya kwa kujificha na sio hadharani kama zamani.
 
Hii ipo tangu mkapa,hasa baada ya polisi kuuawa na mbwa wao usiku kule tegeta,baada ya hapo polisi hawakuwa na mswalie mtume,ndiyo ikawa mazowea hadi tukio la zombe
 
Kabisa,alianzisha kikosi kazi,kikajikita kahama na sehemu zingine,ujambazi wa mabenki ukaisha
 
Serikali haiwezi mdhibiti kibaka bali raia wenyewe,kwetu mwananyamala tulipochoka,tulienda kuwachomoa vibaka makwao mchana wakila ugali,na hawakurudi tena nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…