Inawezekana kubadili chuo kwenda Advance?

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
2,569
Reaction score
6,165
Habari zenu wakuu!

Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school?

Matokeo yake form 4 yapo hivi: CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C'
 
Labda aende Private au akasome DIT courses za injinia
Atemane na mpngo wa advance hauna deal
Advance serikalini haiwezekani? Huyo dogo anatakiwa aende advance serikalini kwa sababu kwao choka mbaya, ada itakua kimbembe huko chuo.
 
Soma hii
20220513_233919.jpg
 
Kama unataka kubadilisha mtoto wako aliechaguliwa mbali kusoma kidato cha tano na ww ungependa asome karibu au mkoani Kilimanjaro karibu nkuhudumie?

Au kama unahitaji mtoto wako wa O level asome boarding schools za serekali zilizopo mkoani Kilimanjaro pia karibu

Adaa 550000-750000 kwa mwaka

Karibu nikusaidie

Calls and whaApp
0764616353
 
Advance serikalini haiwezekani? Huyo dogo anatakiwa aende advance serikalini kwa sababu kwao choka mbaya, ada itakua kimbembe huko chuo
Nenda kwa Afisa Elimu Wilaya akupe utaratibu. Muelezee undani wake.

Ingawa naona fursa aliyopewa ni shortcut ya maisha. Asome kisha atajiendeleza mchepuo anaoutaka akiwa kazini
 
Unasaidiaje unamtafutia shule ya serikali ya karibu au unampeleka private?
 
nipatie namba yake ya mtihani nijaribu kucheza na system ya tamisemi...tujaribu pengine matokeo yapili anaweza kuchaguliwa
 
Advance serikalini haiwezekani? Huyo dogo anatakiwa aende advance serikalini kwa sababu kwao choka mbaya, ada itakua kimbembe huko chuo
Kwahiyo akimaliza Advance hatoenda Chuo kwa hiyo sababu yako uliyoitaja??
 
Habari zenu wakuu!

Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school?

Matokeo yake form 4 yapo hivi: CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C'
Aende DIT aulizie process za kijiunga na chuo pamoja na process za kupata sponsership kuna baadhi ya kozi unaweza kupata ufadhili km home ni choka mbaya
 
Ushauri achana na Advance bora uende VETaa
 
Nenda kwa Afisa Elimu Wilaya akupe utaratibu. Muelezee undani wake.

Ingawa naona fursa aliyopewa ni shortcut ya maisha. Asome kisha atajiendeleza mchepuo anaoutaka akiwa kazini
Kusoma diploma si ndo kupata kazi haraka, kwa I huu ugumu wa Ajira huuoni..?
 
Back
Top Bottom