Inawezekana kubadili chuo kwenda Advance?

Habari zenu wakuu!

Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school?

Matokeo yake form 4 yapo hivi: CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C'
Kama anataka kwenda pcm ni Bora aend vyuo vya diploma kama must na dit maan target kubwa ya pcm ni engineer or technology aachane na advance angekua anatak afya ningemshaul aend PCB maan kuingia chuo wanapewa kipaumbele kuliko diploma
 
O level physics ana D , je A level?

atakuja kukumbuka shuka kumekucha, kijana hajafahamu Adance baadae akikua atajutia maamuzi yake

one among the biggest mistake i made ni kuchagua Advance over chuo, familia ilinipa chaguo nkasema nataka kwenda Advance i was naive kama huyo dogo
 
Asome advance halafu badae matokeo yachenge aje atumie tena cheti cha form 4 kwenda chuo ?? Kwanini asiende chuo moja kwa moja??
 
Habari zenu wakuu!

Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school?

Matokeo yake form 4 yapo hivi: CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C'
Binafsi, sitajibu la kama inawezekana au la, kwa vile sifahamu. lakini, nakuulize au niseme haya;
1. Kitu gani kinamfanya atake kwenda advance na si chuo alichopangiwa?
2. Hivi anajuwa kuwa kwenda chuo anaanza kupata profesion mapema? Hata kama hataendelea na univercity akitokea CBE, hajui kuwa atakuwa na profesion tayari?
3. Afikirie akimaliza A-level halafu akose univercity, atakuwa na profesion gani?

Nikiona na ambacho ni shida kwa vijana wengi ni kuwa kufika form six kwao ni SIFA huko kitaa... Lakini wanasahau kuwa SIFA hizo ndo zinazomrudisha nyuma kitaaluma na kimaisha kwa ujumla.
 
Sio kwamba hawa vijana watakuwa wanapewa sponsorship na serikali kwenye costs za vyuoni uko zitakuwa zimepungua kwa kiasi kikubwa kwa wazazi/walezi wa watoto?
 
mim pia ninashida hiyo hiyo nimepelekwa chuo huasibu arusha ila mim nilitaka kwenda advance

Nenda chuo…… ukimaliza chuo upate GPA 3.5 ni sawa na anae maliza advance na 2.12 cjui

sema ww unaeza ukapata kazi kla wa advance haezi

yaan watoto wa siku hizi mnaona afvance ni deal[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mngeyajua yalivo magumu daah haya bhana enewei
 
Habari zenu wakuu!

Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school?

Matokeo yake form 4 yapo hivi: CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C'
dogo aende chuo aache ujinga, advance hamna la maana huko
 
Nenda chuo…… ukimaliza chuo upate GPA 3.5 ni sawa na anae maliza advance na 2.12 cjui

sema ww unaeza ukapata kazi kla wa advance haezi

yaan watoto wa siku hizi mnaona afvance ni deal[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mngeyajua yalivo magumu daah haya bhana enewei
We mbona umesoma advance ukaweza kuja hapo kwenye ardhi ni azina ?
 
Back
Top Bottom