Ni kweli kwa matokeo yake hayo advance PCM inabidi akomae kweli kweli ili kutoboa.Ila mtaarifu ikiwa Physics O level kapata D basi A level itamfanya vibaya. Labda itokee miujiza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi alienda chuo au aliamua kwenda private?Nina ndugu yangu alimaliza 2019,alipata 1pont17....dogo alikuwa anasoma sayansi
Aisee alichaguliwa kwenda chuo,alilia kishenzi,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa Afisa Elimu Wilaya akupe utaratibu. Muelezee undani wake.Advance serikalini haiwezekani? Huyo dogo anatakiwa aende advance serikalini kwa sababu kwao choka mbaya, ada itakua kimbembe huko chuo
Unasaidiaje unamtafutia shule ya serikali ya karibu au unampeleka private?Kama unataka kubadilisha mtoto wako aliechaguliwa mbali kusoma kidato cha tano na ww ungependa asome karibu au mkoani Kilimanjaro karibu nkuhudumie?
Au kama unahitaji mtoto wako wa O level asome boarding schools za serekali zilizopo mkoani Kilimanjaro pia karibu
Adaa 550000-750000 kwa mwaka
Karibu nikusaidie
Calls and whaApp
0764616353
Kwahiyo akimaliza Advance hatoenda Chuo kwa hiyo sababu yako uliyoitaja??Advance serikalini haiwezekani? Huyo dogo anatakiwa aende advance serikalini kwa sababu kwao choka mbaya, ada itakua kimbembe huko chuo
Aende DIT aulizie process za kijiunga na chuo pamoja na process za kupata sponsership kuna baadhi ya kozi unaweza kupata ufadhili km home ni choka mbayaHabari zenu wakuu!
Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school?
Matokeo yake form 4 yapo hivi: CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C'
Kusoma diploma si ndo kupata kazi haraka, kwa I huu ugumu wa Ajira huuoni..?Nenda kwa Afisa Elimu Wilaya akupe utaratibu. Muelezee undani wake.
Ingawa naona fursa aliyopewa ni shortcut ya maisha. Asome kisha atajiendeleza mchepuo anaoutaka akiwa kazini