Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

Huo ni ufala. Kama ameoa na kuna watoto, aondoke akapange.
Kama hajaoa, amtimue huyo demu.
Kama ameoa na hamna mtoto, atafute Mwanasheria ila asikae hapo asepe.
 
Mpango una weza usi wepo, Kama ni waislamu wame pewa zile siku 40 (Sina hakika) za matazamio.

Muda mwingine mna gombana, mmoja ana panda juu zaidi, mki kaa mka tulia everything cools off.
Eda (40) imewekwa kwa sababu
1. Matazamio ya kuachana huwenda mmoja hasila ilimtawala lakini bado mnapendana,ndio maana ndani ya hizo siku unaruhusiwa kumrudia bila ya sharti lolote.
Zikipita hizo siku 40 basi itabidi utoe tena mahali na ufungishwe upya ndoa.
2. Matazamio ya ujauzito ,hapa unawezekana umemuacha na ujauzito bila yeye au wewe kujua.
Hizo siku 40 zinaweza kugundua kama mjamzito au laa
 
Huo ni ufala. Kama ameoa na kuna watoto, aondoke akapange.
Kama hajaoa, amtimue huyo demu.
Kama ameoa na hamna mtoto, atafute Mwanasheria ila asikae hapo asepe.
Unasema amtimue kama ni demu umeuliza hiyo NYUMBA ni ya nani? Kama wamepanga unamtimuaje mpangaji mwenzako?
 
Back
Top Bottom