Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Hata akirudi nyumbani na kukimbilia kuoga, akiwa kwenye simu huku anaongea sauti ya kimahaba au akiamua kutoka out na kurudi mida ya wanga.Hiyo ngumu sana, mwanamke akipata mwanaume na kutaka huyo mwanaume aje hapo patakalika?