Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

Hiyo ngumu sana, mwanamke akipata mwanaume na kutaka huyo mwanaume aje hapo patakalika?
Hata akirudi nyumbani na kukimbilia kuoga, akiwa kwenye simu huku anaongea sauti ya kimahaba au akiamua kutoka out na kurudi mida ya wanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…