Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

ahmed omar

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
270
Reaction score
215
Fundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njiani nibaki pagale ushauri wenu wadau.


IMG-20211004-WA0010.jpg

 
Amenipa wasiwasi

Mimi ni fundi, baadhi ya mafundi wasio na weledi huwa wanamtajia Boss gharama za chini ili aingie kichwa kichwa apate kazi,akishaanza kuchimba msingi na kuleta cement na tofali hapo ndio fundi ataanza nunua hiki mara nunua hiki ambavyo ndivyo vinakuja kukutoa nje ya reli na kulala na viatu huku pagale hata kuezeka bado achilia mbali grill/plasta.
 
Back
Top Bottom