Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Halafu sijui kama mnajua au mnafahamu kuwa siku hizi vifaa vya ujenzi vimejaa humu nchini!? Ukitaka vigae, vipo vya kampuni karibu sita! Ukitaka sementi zipo za kampuni sijui ngapi n.k. n.k. Hivyo cha kufanya ni kuwa aidha wekeza kwenye kampuni yoyote pesa yako kidogo kidogo na mwisho wa siku utapata vifaa hivyo kwa bei nafuu na bila presha! Au nenda viwandani ukanunue huko in bulk - say tani kumi za sementi au boksi hamsini za vigae n.k n.k.. Sasa hivi ni suala la USHINDANI tu. Asanteni.
Sawa boss
 
inategemea na maeneo kwa maeneo kama ni tambalale na yenye mchanga ila kam eneo lina kilima na udongo mfinyaz ila yote kwa yote 14ml unaamia ujenz ni usimamiz tu ukiwa mgen unapigwa hivyo inatosha na chenji labda kama unanunua uwanja bei juu ila kama uku kwetu kisemvule kuanzia kununua uwanja kujenga bati vifaa hta 10ml haifik iyo ina vyumba 4 kimoja master dining siting jiko adi hapo imetumia 11ml kisemvule mchanga sijanunua View attachment 2000492
Unapatikama wapi mheshimiwa
 
Kwahiyo nyumba hapo ilipofikia unatoboa vizuri tu,lakini inahitaji usimamizi wako wa karibu.
Kila kitu ununue mwenyewe na uwepo sait muda wote,kama una kibarua omba likizo.
Utafikia malengo.
Vinginevyo haitoshi,usipokuwa karibu kuna namna fedha zitavuja ,hutafika popote.
 
Mm ni Mhandisi by professional ngoja nijaribu kukupa roughly estimate ( ningeona ramani na plot yako ningekupa most accurate estimate)
Tofauli kwa kozi 14, msingi na septic 2500-3000
Gharama fundi mzuri yoyote 1.8 - 2M (boma tu)
Saruji mpaka plaster 100-150 bags
Nondo mm 10 pc 25 na mm 12 pc 30 (ukifunga tatu tatu)
Kokoto trip 2 (nzuri ni ile nyeusi chukua za size 20-25mm) Dar trip moja 300k mpka 400k
Mchanga trip 7-10
Kupaua ( fundi+mbao+bati gauge 30) 4-6 M itategemea aina ya bati unazohitaji so inaweza kuzidi or kupungua
Kuna gharama za maji, kuchimba shimo la choo, usafiri, rings, kukodi mbao, majukwaa, na mapipa ( itategemea na mahali ulipo)
Pia kuna gharama za milango, madirisha, plumbing,electrical installation, finishing ya floor, ceiling, na rangi hizo zitategemea na mahitaji yako mkuu. Na vitu vingne kama misumari, binding wire, mbao za 2x2 kwa ajili ya msingi wakt wa setting, plywood kma unahitaji arch wakat wa renta fundi atakuongoza idadi yake. All the best
Fundi mpaka ujenzi kwa tofali ngazi 14 ni laki saba tu fundi wa kupaua ni laki nane tu hapa arusha mjini
 
Back
Top Bottom