CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 648
Tuko pamoja RRONDO kwa ajili ya maendeleo yetu. Tupe feedback kama utaona inafaa. Thanks too.Thanks.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja RRONDO kwa ajili ya maendeleo yetu. Tupe feedback kama utaona inafaa. Thanks too.Thanks.
kwa mimi hapa moro hyo 14 nakujengea na chenji na nyumba inakuwa imara ..Fundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau.
View attachment 1965447
Kiongozi unamwingiza jamaa chaka. Hizo bati, mbao za kupaua, na gharama za kupaua unaweza kunipa makadirio ya shilingi ngapi?Mpaka hapo inavuoonekana kwenye picha ukiwa na 14m unafika. Kuanzia hapo sasa ni finishing ipi unaifanya ndio itaamua hio nyumba iwe na thamani gani.
Bati 75 gauge 30@tsh 27,000 = 2,025,000Kiongozi unamwingiza jamaa chaka. Hizo bati, mbao za kupaua, na gharama za kupaua unaweza kunipa makadirio ya shilingi ngapi?
Umeiona picha ya hiyo nyumba ukaona ni mabati gauge 30 au ni macho yangu yananidanganya?
Kwani we unaonaje. Mi naona ni mabati ya gauge 30 migongo mipanaUmeiona picha ya hiyo nyumba ukaona ni mabati gauge 30 au ni macho yangu yananidanganya?
inategemea na maeneo kwa maeneo kama ni tambalale na yenye mchanga ila kam eneo lina kilima na udongo mfinyaz ila yote kwa yote 14ml unaamia ujenz ni usimamiz tu ukiwa mgen unapigwa hivyo inatosha na chenji labda kama unanunua uwanja bei juu ila kama uku kwetu kisemvule kuanzia kununua uwanja kujenga bati vifaa hta 10ml haifik iyo ina vyumba 4 kimoja master dining siting jiko adi hapo imetumia 11ml kisemvule mchanga sijanunuaFundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau.
View attachment 1965447
Gharama ya kupaua hivyo haizidi 5mKiongozi unamwingiza jamaa chaka. Hizo bati, mbao za kupaua, na gharama za kupaua unaweza kunipa makadirio ya shilingi ngapi?
Nadhani umefika wakati sasa wa JF kuja na sera mpya juu ya MATANGAZO YA BIASHARA humu mtandaoni, vinginevyo, tutajaza matangazo yetu ya kila biashara zetu humu JF. Nawasilisha wadau!Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416
vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Achane naye.Ni vizuri kunyamaza kama una ufahamu na kitu kuliko kujilopokea.100%Hakuna nyumba ya TSHM5 kigamboni.Sipo kwenye kundi la wanaokatshaga watu tamaa humu jf kam ushawah kuona post zang utaprove but tusidanganye watu kwa vitu tusivyovijua! Nipo kwenye hyo industry na ndio nliyoisomea na kufanyia kaz so najua nnachokiongea! By the way kwa akili zako unaamini kuna real estate ya kukuuzia ww nyumba ya two bedrooms kwa 5m ikiwa viwanja 37km from ferry mnauziwa 1.8m tena kwa promotion...acha maneno ya vijiwe vya kahawa
Kama zipo ntakopa ninunue ishirini kwa mpigo.Mkuu naomba mawasiliano ya hao jamaa. Nahangaika huku kuna nyumba za 5.5m! Yaani nimezungushia fence kozi nne, nimeweka na msingi wa nyumba 5m imekatika! Sasa si Bora ningenunua hio nyumba ya 5.5m
Inatosha na kubaki...hii ni nyumba ya tafari kama 1200 ambazo ni wastani wa milion 1.5 tuFundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau.
View attachment 1965447
Kwa Sasa huwezi mkuu building materials zipo juu sana.labda wakati mwingineFundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau.
View attachment 1965447
Wakati mwengine upi tena na wakati kila kukicha mambo yanapanda juu hayashuki..!Kwa Sasa huwezi mkuu building materials zipo juu sana.labda wakati mwingine
Uliwasiliana na hiyo Real Estate Company wenye kuuza hizo nyumba za 5.5.mi/=? Hebu lete mrejesho kwani kuna akina Tomaso humu JF hawaamini mpaka waone "matundu"! Nilikupa hizo namba na naamini na wao wameziona, ningewashauri nao wawapigie ili mbivu na mbichi zielewekw hasa hasa kwa wale wasomi wa Ardhi Institute!Tuko pamoja RRONDO kwa ajili ya maendeleo yetu. Tupe feedback kama utaona inafaa. Thanks too.
Hivi mkuu upo serious kweli...! Hizo nyumba ni vyumba vingapi? Na ni kigamboni ipi hiyo? Niko interested kumnunulia bimkubwa.Uliwasiliana na hiyo Real Estate Company wenye kuuza hizo nyumba za 5.5.mi/=? Hebu lete mrejesho kwani kuna akina Tomaso humu JF hawaamini mpaka waone "matundu"! Nilikupa hizo namba na naamini na wao wameziona, ningewashauri nao wawapigie ili mbivu na mbichi zielewekw hasa hasa kwa wale wasomi wa Ardhi Institute!
I am serious! Binafsi nilisikia tangazo la hao jamaa, nikawapigia, tukazungumza na kilicho baki ni mie kujipanga na kwenda kuwaona ili twende SITE. Ila wewe sasa nakwambia hivi - nilishampa mwana JF, mmoja nadhani avatar yake ni BRONDO, namba za hao Real Estate, hivyo na wewe fanya kazi kwa kutafuta uzi wangu wenye hizo namba za hao jamaa. Nasema hivyo kwa sababu kila kitu nilishatoa humu JF!Hivi mkuu upo serious kweli...! Hizo nyumba ni vyumba vingapi? Na ni kigamboni ipi hiyo? Niko interested kumnunulia bimkubwa.
Halafu sijui kama mnajua au mnafahamu kuwa siku hizi vifaa vya ujenzi vimejaa humu nchini!? Ukitaka vigae, vipo vya kampuni karibu sita! Ukitaka sementi zipo za kampuni sijui ngapi n.k. n.k. Hivyo cha kufanya ni kuwa aidha wekeza kwenye kampuni yoyote pesa yako kidogo kidogo na mwisho wa siku utapata vifaa hivyo kwa bei nafuu na bila presha! Au nenda viwandani ukanunue huko in bulk - say tani kumi za sementi au boksi hamsini za vigae n.k n.k.. Sasa hivi ni suala la USHINDANI tu. Asanteni.Kwa gharama ya vifaa vya ujenzi sidhani kama utatoboa kwa 14m now! Walau 20 hivi