CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 648
Sawa ila inategemea na maono ya kila mtu kwenye ujenzi wa nyumba. Juzi kuna mpwa wangu, anaishi USA, kaja na akaenda kusimamia ujenzi wa SERVANT QUARTER kwenye kiwanja chake, anasema hadi hatua ya kupiga bati na finishing ndogo ndogo, ametumia 8mi/-! Kwa kweli ujenzi ni suala la MTAZAMO na MAONO yako binafsi. Binafsi hiyo 14mi/= ni pesa nyingi. By the way kuna kampuni moja ya Real Estate, wanauza nyumba huko Kigamboni yenye 2 Bedrooms, 1 Sitting Room, Choo na Bafu kwa 5.5mi/=! UPO HAPO!?Sasa kama tofali tu ni 2.6m, ukiweka saruji, nondo, kokoto,mbao,bati,mchanga,labor,gharama za fundi,umeme,maji, plumbing,gharama za kukodi vifaa, kuchimba shimo la choo, fundi wa kupaua bado tu hyo m 14 ipo?