Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Umemjibu vizuri mkuuMimi ni fundi, baadhi ya mafundi wasio na weledi huwa wanamtajia Boss gharama za chini ili aingie kichwa kichwa apate kazi,akishaanza kuchimba msingi na kuleta cement na tofali hapo ndio fundi ataanza nunua hiki mara nunua hiki ambavyo ndivyo vinakuja kukutoa nje ya reli na kulala na viatu huku pagale hata kuezeka bado achilia mbali grill/plasta.