Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Mpaka hapo inavuoonekana kwenye picha ukiwa na 14m unafika. Kuanzia hapo sasa ni finishing ipi unaifanya ndio itaamua hio nyumba iwe na thamani gani.
Kiongozi unamwingiza jamaa chaka. Hizo bati, mbao za kupaua, na gharama za kupaua unaweza kunipa makadirio ya shilingi ngapi?
 
Kiongozi unamwingiza jamaa chaka. Hizo bati, mbao za kupaua, na gharama za kupaua unaweza kunipa makadirio ya shilingi ngapi?
Bati 75 gauge 30@tsh 27,000 = 2,025,000
Mbao 2*2 80 Tsh 2700 = 216,000
Mbao 2*4 100 Tsh 5400 = 540,000
Kofia 20 @11,000 = 220,000
Misumari kg 30 @8000 = 240,000
Fundi Tsh 1000,000
Kench wire Tsh 50,000

Jumla Tsh. 4,291,000/=
 
Bati 75 gauge 30@tsh 27,000 = 2,025,000
Mbao 2*2 80 Tsh 2700 = 216,000
Mbao 2*4 100 Tsh 5400 = 540,000
Kofia 20 @11,000 = 220,000
Misumari kg 30 @8000 = 240,000
Fundi Tsh 1000,000
Kench wire Tsh 50,000

Jumla Tsh. 4,291,000/=
Umeiona picha ya hiyo nyumba ukaona ni mabati gauge 30 au ni macho yangu yananidanganya?
 
Fundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau.


View attachment 1965447
inategemea na maeneo kwa maeneo kama ni tambalale na yenye mchanga ila kam eneo lina kilima na udongo mfinyaz ila yote kwa yote 14ml unaamia ujenz ni usimamiz tu ukiwa mgen unapigwa hivyo inatosha na chenji labda kama unanunua uwanja bei juu ila kama uku kwetu kisemvule kuanzia kununua uwanja kujenga bati vifaa hta 10ml haifik iyo ina vyumba 4 kimoja master dining siting jiko adi hapo imetumia 11ml kisemvule mchanga sijanunua
FB_IMG_1598116836270.jpg
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Nadhani umefika wakati sasa wa JF kuja na sera mpya juu ya MATANGAZO YA BIASHARA humu mtandaoni, vinginevyo, tutajaza matangazo yetu ya kila biashara zetu humu JF. Nawasilisha wadau!
 
Sipo kwenye kundi la wanaokatshaga watu tamaa humu jf kam ushawah kuona post zang utaprove but tusidanganye watu kwa vitu tusivyovijua! Nipo kwenye hyo industry na ndio nliyoisomea na kufanyia kaz so najua nnachokiongea! By the way kwa akili zako unaamini kuna real estate ya kukuuzia ww nyumba ya two bedrooms kwa 5m ikiwa viwanja 37km from ferry mnauziwa 1.8m tena kwa promotion...acha maneno ya vijiwe vya kahawa
Achane naye.Ni vizuri kunyamaza kama una ufahamu na kitu kuliko kujilopokea.100%Hakuna nyumba ya TSHM5 kigamboni.
 
Mkuu naomba mawasiliano ya hao jamaa. Nahangaika huku kuna nyumba za 5.5m! Yaani nimezungushia fence kozi nne, nimeweka na msingi wa nyumba 5m imekatika! Sasa si Bora ningenunua hio nyumba ya 5.5m
Kama zipo ntakopa ninunue ishirini kwa mpigo.
 
Tuko pamoja RRONDO kwa ajili ya maendeleo yetu. Tupe feedback kama utaona inafaa. Thanks too.
Uliwasiliana na hiyo Real Estate Company wenye kuuza hizo nyumba za 5.5.mi/=? Hebu lete mrejesho kwani kuna akina Tomaso humu JF hawaamini mpaka waone "matundu"! Nilikupa hizo namba na naamini na wao wameziona, ningewashauri nao wawapigie ili mbivu na mbichi zielewekw hasa hasa kwa wale wasomi wa Ardhi Institute!
 
Uliwasiliana na hiyo Real Estate Company wenye kuuza hizo nyumba za 5.5.mi/=? Hebu lete mrejesho kwani kuna akina Tomaso humu JF hawaamini mpaka waone "matundu"! Nilikupa hizo namba na naamini na wao wameziona, ningewashauri nao wawapigie ili mbivu na mbichi zielewekw hasa hasa kwa wale wasomi wa Ardhi Institute!
Hivi mkuu upo serious kweli...! Hizo nyumba ni vyumba vingapi? Na ni kigamboni ipi hiyo? Niko interested kumnunulia bimkubwa.
 
Hivi mkuu upo serious kweli...! Hizo nyumba ni vyumba vingapi? Na ni kigamboni ipi hiyo? Niko interested kumnunulia bimkubwa.
I am serious! Binafsi nilisikia tangazo la hao jamaa, nikawapigia, tukazungumza na kilicho baki ni mie kujipanga na kwenda kuwaona ili twende SITE. Ila wewe sasa nakwambia hivi - nilishampa mwana JF, mmoja nadhani avatar yake ni BRONDO, namba za hao Real Estate, hivyo na wewe fanya kazi kwa kutafuta uzi wangu wenye hizo namba za hao jamaa. Nasema hivyo kwa sababu kila kitu nilishatoa humu JF!
 
Kwa gharama ya vifaa vya ujenzi sidhani kama utatoboa kwa 14m now! Walau 20 hivi
Halafu sijui kama mnajua au mnafahamu kuwa siku hizi vifaa vya ujenzi vimejaa humu nchini!? Ukitaka vigae, vipo vya kampuni karibu sita! Ukitaka sementi zipo za kampuni sijui ngapi n.k. n.k. Hivyo cha kufanya ni kuwa aidha wekeza kwenye kampuni yoyote pesa yako kidogo kidogo na mwisho wa siku utapata vifaa hivyo kwa bei nafuu na bila presha! Au nenda viwandani ukanunue huko in bulk - say tani kumi za sementi au boksi hamsini za vigae n.k n.k.. Sasa hivi ni suala la USHINDANI tu. Asanteni.
 
Back
Top Bottom