Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Kwan upo mkoa gan mkuu tuanzie hapo kwanza na hiyo nyumba unaijengwa mkoa gan ?

Kwa mazingira ya moshi hiyo nyumba inaisha na kuhamia +umeme na maji
 
Fedha inatosha anza kwa kununua bati na kenchi naamini fedha inayobaki inamaliza
 
Fundi wangu Kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau

View attachment 1965447
Mpaka hapo inavuoonekana kwenye picha ukiwa na 14m unafika. Kuanzia hapo sasa ni finishing ipi unaifanya ndio itaamua hio nyumba iwe na thamani gani.
 
Mpaka hapo inavuoonekana kwenye picha ukiwa na 14m unafika. Kuanzia hapo sasa ni finishing ipi unaifanya ndio itaamua hio nyumba iwe na thamani gani.
Nataka ifike hapo ndio nimalizie nikiwa ndani
 
Niamini mimi hauwezi kufanya hivyo vyote labda ujenge chini ya viwango...Milango uweke ya "Seplas" ,msingi usifunge mkanda,bati upige za MPESEMPESE...Ratio uweke mchanga ndoo 12 kwa mfuko na kazi umpe saidia fundi ndio ajenge.
Kwahiyo kwa nyumba kama hiyo inahitajika total figure kiasi gani Chief?
 
Back
Top Bottom