Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Mm ni Mhandisi by professional ngoja nijaribu kukupa roughly estimate ( ningeona ramani na plot yako ningekupa most accurate estimate)
Tofauli kwa kozi 14, msingi na septic 2500-3000
Gharama fundi mzuri yoyote 1.8 - 2M (boma tu)
Saruji mpaka plaster 100-150 bags
Nondo mm 10 pc 25 na mm 12 pc 30 (ukifunga tatu tatu)
Kokoto trip 2 (nzuri ni ile nyeusi chukua za size 20-25mm) Dar trip moja 300k mpka 400k
Mchanga trip 7-10
Kupaua ( fundi+mbao+bati gauge 30) 4-6 M itategemea aina ya bati unazohitaji so inaweza kuzidi or kupungua
Kuna gharama za maji, kuchimba shimo la choo, usafiri, rings, kukodi mbao, majukwaa, na mapipa ( itategemea na mahali ulipo)
Pia kuna gharama za milango, madirisha, plumbing,electrical installation, finishing ya floor, ceiling, na rangi hizo zitategemea na mahitaji yako mkuu. Na vitu vingne kama misumari, binding wire, mbao za 2x2 kwa ajili ya msingi wakt wa setting, plywood kma unahitaji arch wakat wa renta fundi atakuongoza idadi yake. All the best
 
Niamini mimi hauwezi kufanya hivyo vyote labda ujenge chini ya viwango...Milango uweke ya "Seplas" ,msingi usifunge mkanda,bati upige za MPESEMPESE...Ratio uweke mchanga ndoo 12 kwa mfuko na kazi umpe saidia fundi ndio ajenge.
Kama za chanika vile??
 
Kwa haraka haraka tu hizo bati ni zaidi ya 60, bati moja ni Tsh +50,000/= Halafu inategemea na eneo alilojengea, kama Ni dar msingi utajengwa kwa tofari but kama ni mikoani then msingi utajengwa kwa mawe and hence bei inaweza kua tofauti, msingi wa tofari is more expensive than mawe, kwa haraka haraka hiyo 14M haitoshi but kama una haraka sana, nakushauri achana na hizo bati almaarufu kama za Msauzi (South African ). Nunua bati za kawaida gauge 28 ambazo bati la futi 10 kwenye bando moja zipo 12 na bei yake ni chini ya Tsh laki 3, hizo za Msauzi zitumie wakati labda utakua unajenga nyumba ya pili while hauna HARAKA cause mahali pa kukaa utakua napo. Otherwise, hongera mkuu kwa plan nzuri
 
Acha uongo, hizo bati migongo mipana haifiki 50000.
Hata alaf wenyewe wanauza 37,000
 
Inatosha kwa nyumba hiyo mpka hapo ilipofikia...lakini na wewe kiwanja chako kisiwe bondeni..maji yawepo
 
Kwa haraka haraka tu hizo bati ni zaidi ya 60, bati moja ni Tsh +50,000/= Halafu inategemea na eneo alilojengea, kama Ni dar msingi utajengwa kwa tofari but kama ni mikoani then msingi utajengwa kwa mawe and hence bei inaweza kua tofauti, msingi wa tofari is more expensive than mawe, kwa haraka haraka hiyo 14M haitoshi but kama una haraka sana, nakushauri achana na hizo bati almaarufu kama za Msauzi (South African ). Nunua bati za kawaida gauge 28 ambazo bati la futi 10 kwenye bando moja zipo 12 na bei yake ni chini ya Tsh laki 3, hizo za Msauzi zitumie wakati labda utakua unajenga nyumba ya pili while hauna HARAKA cause mahali pa kukaa utakua napo. Otherwise, hongera mkuu kwa plan nzuri
Bati za kawaida gauge ziko 16 sio 12
 
Bati za 28000/ zipo kwa nini anunue bati ya 50000/
Kuna watu humu wanapenda kukatisha wenzao tamaa
 
Back
Top Bottom