Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Sawa boss
 
Unapatikama wapi mheshimiwa
 
Kwahiyo nyumba hapo ilipofikia unatoboa vizuri tu,lakini inahitaji usimamizi wako wa karibu.
Kila kitu ununue mwenyewe na uwepo sait muda wote,kama una kibarua omba likizo.
Utafikia malengo.
Vinginevyo haitoshi,usipokuwa karibu kuna namna fedha zitavuja ,hutafika popote.
 
Fundi mpaka ujenzi kwa tofali ngazi 14 ni laki saba tu fundi wa kupaua ni laki nane tu hapa arusha mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…