Inawezekana kumpenda mtu bila kumtamani

We demu ukiona mtu anasema anakuelewa wakati hajawah hata kukuona, ujue hizo ni ndoano tu, ukinasa umeliwa😋
 

kwani wewe mama yako huwa humpendi? dadaako? binti yako?
 
Inawezekana kumpenda mtu bila kumtamani kama nafsi yako. Lakini ukipenda kitu alichonacho huko ni kutamani na nidhambi.Ukimpenda mtu kwa sababu ya kitu alichonacho;swali je kesho hicho alichonacho kikipotea utampenda?Lakini ukimpenda mtu kama nafsi yako hata akiwa masikini upendo upo pale pale
 
Sahihi mkuu umenena vyema kumpenda mtu kama nafsi yako
 
Mama yako au baba yako unawapenda? Je, unawatamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…