Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
We demu ukiona mtu anasema anakuelewa wakati hajawah hata kukuona, ujue hizo ni ndoano tu, ukinasa umeliwa😋Habarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
-kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
-Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
-Swali langu ni unaweza kumpenda mtu bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.