Nakwambia hata mimi nimemshangaa kama ulivyoshangaa weweBinti sayuni bhana ππ kukojozwa tena
Unataka kuthibitisha sioππsasa unakojozwaje π ebu njoo PM unambie
Ukaamua ukanikague haya hongeraπππuna S3x addiction maana nimeona nyuzi zakoπ
Akhuuππ mimi nilishaachana na hayo mambo sasa hivi naangazia huku kwenye kilimonasikia unatafuta mpenzi umepata au vacancy ipo badoπ
Huyu namkutaga kila kwenye utafutaji wa mpenzi ππAfadhali maana ningekuitia mzabzab π
ππππNdio Dr. Mahaba ana upwiru ulimkaba koo ukamaliza π
Nikupe Lilith,πsiku iZi simuoniπnitakuwa mpwa wako
Hata ukimfahamu nje ya mtandao, kumpenda mtu ni gambling, hoping for a good endHabarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
Swali langu ni unaweza kumpenda mtu uliekutana nae mtandaoni bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.
Too old to be yoursπhapana I want you