Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia hata mimi nimemshangaa kama ulivyoshangaa weweBinti sayuni bhana 😂😂 kukojozwa tena
Unataka kuthibitisha sio😁😁sasa unakojozwaje 😅 ebu njoo PM unambie
Ukaamua ukanikague haya hongera😁😁🙌una S3x addiction maana nimeona nyuzi zako😂
Akhuu😁😁 mimi nilishaachana na hayo mambo sasa hivi naangazia huku kwenye kilimonasikia unatafuta mpenzi umepata au vacancy ipo bado😂
Huyu namkutaga kila kwenye utafutaji wa mpenzi 😁😁Afadhali maana ningekuitia mzabzab 😂
😁😁😁🙌Ndio Dr. Mahaba ana upwiru ulimkaba koo ukamaliza 😀
Nikupe Lilith,😂siku iZi simuoni😂nitakuwa mpwa wako
Hata ukimfahamu nje ya mtandao, kumpenda mtu ni gambling, hoping for a good endHabarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
Swali langu ni unaweza kumpenda mtu uliekutana nae mtandaoni bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.
Too old to be yours😂hapana I want you