Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndohivyo ndio maana tunakataa ndoa.Impossible wanaume tunatamani kwanza then love baadaye ...Baada ya kujua yaliyomo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kikawaida mwanadamu anaanza na kutamani kabla ya kupenda, ndio maana unaweza kuulizwa/kujiuliza swali "Hivi anampenda kweli au kamtamani tu" actually, unaanza kumtamani, then kama upendo upo ndani yake utachukua nafasi yake, na ikiwa hakuna upendo, tamaa zikikata tu huna habari naye tena.Habarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
Swali langu ni unaweza kumpenda mtu uliekutana nae mtandaoni bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.
HeyHabarini wanajamvi.

kweli kabisa nishaanza kujijengea picha ya Mallerina hahaKikawaida mwanadamu anaanza na kutamani kabla ya kupenda, ndio maana unaweza kuulizwa/kujiuliza swali "Hivi anampenda kweli au kamtamani tu" actually, unaanza kumtamani, then kama upendo upo ndani yake utachukua nafasi yake, na ikiwa hakuna upendo, tamaa zikikata tu huna habari naye tena.
Aidha kuhusu, ishu ya kumweleza mtu unampenda kwenye mitandao ya kijamii, yamkini hujawai hata kumuona kisura, inaweza kuchagizwa na mambo kadhaa. Kisaikolojia, inaweza kusababishwa na ile taswira ulioijenga kichwani kuhusu huyo mtu, mfano unaweza kuwa unajenga picha kuwa huyu mtu atakuwa anafanana hivi, labda white, mrefu etc. Lakini pia, inawezakuchagizwa na harakati zake kwenye mitandao husika mfano mada anazichangia, maadiko yake nk
Haha, mvutie waya mkuukweli kabisa nishaanza kujijengea picha ya Mallerina haha
Psychologically, hiki ndicho unachotamani KwakeHabarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
Swali langu ni unaweza kumpenda mtu uliekutana nae mtandaoni bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.
kama hadi Satan kasema hivi wakuu tunafeli wapi!Kupenda ni mtiririko wa tamaa.. leo umetani anavyoongea. Kesho ukatamani anavyocheka. Keshokutwa ukatamani anavyotembea nk... Ndo upendo huo. Mwishowe mnagandana.
Kesho ukianza kukwazika kwa ulivyovipenda ndo chuki huanzia hapo. mwishowe kinaumana.
Ndugu Mtanzania, unangoja nini? Jitwalie kilichochema mbele ya upeo wa macho yako ili uiponye nafsi