Msonjo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2019 Posts 1,356 Reaction score 2,342 Nov 26, 2020 #21 Ndio inawezekana
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Nov 26, 2020 #22 Hakuna mtoto wa afrika wala ulaya. BLACK LIVE'S MATTER
Antennah JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 6,754 Reaction score 8,750 Nov 26, 2020 #23 Mi nashangaaga sana nikikutana na mtu akanambia et tangu azaliwe hajawahi kabisa kuchapwa viboko na wazazi wake.....Yani huwa natokwa na macho kupita maelezo.....
Mi nashangaaga sana nikikutana na mtu akanambia et tangu azaliwe hajawahi kabisa kuchapwa viboko na wazazi wake.....Yani huwa natokwa na macho kupita maelezo.....