Inawezekana kuna Grand Corruption nyuma ya maamuzi haya ya wanasiasa wetu

Cdm ni Ile ile, tofauti ni mazingira.
Utofauti wake ni upi?

Utasema magu anabana wapinzani,

Sasa kama kipindi cha siasa ngumu mnakuwa softi bado kuna upinzani hapo?
 
Ngoja nichomekee neti kwanza .
Nikae mkao mzuri
 
Utofauti wake ni upi?

Utasema magu anabana wapinzani,

Sasa kama kipindi cha siasa ngumu mnakuwa softi bado kuna upinzani hapo?

Sio kwamba Magu anawabana wapinzani bali anatumia madaraka yake vibaya kuhujumu wapinzani wa kweli. Cdm ni chama cha siasa na sio kikundi cha kigaidi. Ili cdm waweze kufanya siasa chini ya rais huyu kama maelezo yako yalivyo, labda iingie msituni.
 
Kama amefanikiwa nguvu yote iliyotumika kwenye uchaguzi mkuu ilikuwa ya nini?
 
Kodi zetu za trillions zinatumika vibaya sana kuwanunua wanasiasa malaya malaya ili kuhakikisha huyo anayejiita mwendawazimu anaendelea kuwepo madarakani kwa njia za haramu.
 
Kwa vyovyote lazima Kuna watu wamelamba mtonyo wa nguvu kibaya zaidi duniani hakuna siri . Muda Ni mwalimu mzuri sana majibu yatapatikana muda si mrefu .
 
Ningependa kumfaham huyo whistleblower
 
Chadema mtalia weee lakini mwisho mtachoka. Mambo ya ACT- wazalendo hayawahusu, pambaneni na ya kwenu tu. Hamkuwa na muungano wo wote unaotambulika kisheria na ACT katika hizo kampeni zenu za kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020. Endeleeni kukiua chama chenu kwa kuamini hao vibaraka wa mabeberu walioko lockdown ughaibuni.
 
Yule hajawahi kuongopa .. akimwaga hiyo mboga na ugali msisahau kunitag
Ushasahau alivyoongopa kuhusu kifo cha Jiwe? Vipi kuhusu "tallying centre" wakati wa uchaguzi? Sema tu mnapenda umbeya na mnadanganyika kirahisi
 
Jaanga hili alituletea mkapa bila yeye wala tusingekua na mwenyeki wa kijiji anaitwa jiwe never
 
whistle blower walete hao wahuni tuwajue tuwadelete kabisa katika uwanja wa kisiasa nchini, mchwa kabisa hao wasiostahili chembe ya heshima hata kidogo!
Usije shangaa ukalazimika hata ku delete baba yao ! Ohooo ! Siasa si hasa !
 
Subiri muda mchache tuuuu na Chadema itawaruhusu akina Halima kuwa wabunge. Amka ndugu yangu kelele zako hazitawanyima wao kunywa maji. Watch this space.
 
Inatakiwa TAKUKURU wakuhoji maana huwezi kila siku unalalamika na kuzusha kuhusu RUSHWA wakati wewe si mtoaji au mla rushwa.
 
Watanzania, watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!

Niwakumbushe tu ndugu zangu, sukari tunayokorogea Hot beverage ni siasa, mafuta tunayoweka kwenye automobile ni siasa, beer na condom tunazotumia ni siasa!

Tusiache, tuendelee kujadili SIASA, siasa ni maisha.
 
Ukikumbuka haya maneno...

"REMEMBER YOU GOT A FAMILY TO FEED NOT A COMMUNITY TO IMPRESS"

Basi utajikita katika kufanya mambo yako na kuachana kabisa na siasa za kibongo. Kila mtu anahangaika na maisha yake hakuna mtu anapigania maisha yako ndg mjumbe.
 
Mkuu wanasiasa hawepewi cash mbali huwa wanapewa ahadi na kuakikishiwa maslahi yao na familia zao. Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…