Inawezekana kuongeza makato ya mkopo benki?

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Habarini!
Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe 300,000/= sasa). Je, inawezekana? Km inawezekana utaratibu upoje?
 
Haiwezekani

Mi nauliza lingine hapa
Ukiwa umekopa benki wanakata salary kuna jinsi unaweza kufanya wakakubali kupokea ela nje ya salary mfano unafanya deposit unawambia wakate inawezekana?
 
Ndio inawezekana...
Hii ulipa in a single lap sum.
Na riba hupungua hivyo matejesho utakayo lipa kwa pamoja hupungua.

#YNWA
 
Mi nauliza lingine hapa
Ukiwa umekopa benki wanakata salary kuna jinsi unaweza kufanya wakakubali kupokea ela nje ya salary mfano unafanya deposit unawambia wakate inawezekana?
Hapana, vinginevyo ukakope mkopo tofauti na huo unaopitia kwa mwajiri. Kakope mkopo wa biashara, kilimo n.k huo makato yake hayatatokana na salary slip yako.
 
Habarini!
Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe 300,000/= sasa). Je, inawezekana? Km inawezekana utaratibu upoje?
Inawezeka sana
 
Mimi niliwahi kulipa mkopo wa miaka 2 kwa mwaka mmoja CRDB.

Vv
 
Habarini!
Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe 300,000/= sasa). Je, inawezekana? Km inawezekana utaratibu upoje?
Tunachokifanya tunatop up mkopo ule kwa makato makubwa zaidi na hapo muda wa marejesho utapungua. Kwahiyo inawezekana
 
Hapana, vinginevyo ukakope mkopo tofauti na huo unaopitia kwa mwajiri. Kakope mkopo wa biashara, kilimo n.k huo makato yake hayatatokana na salary slip yako.
Dhamana yake inakuwa nini
 
Tunachokifanya tunatop up mkopo ule kwa makato makubwa zaidi na hapo muda wa marejesho utapungua. Kwahiyo inawezekana
Muuliza swali hataki kukopa tena top up maana yake unaongea mkopo juu ya mkopo muuliza swali anataka amalize kulipa ili awe huru au akakope kwingine. Mjibu kwa muktadha huu na sio wa top up.
 
Mkataba wa kukopa ni wa kwako, kwa hiyo unaweza kubadilisha marejesho utakavyo. Cha msingi makato yasizidi kiwango cha ukomo cha kukatwa kilichowekwa na benki na/ama mwajiri.
 
Muuliza swali hataki kukopa tena top up maana yake unaongea mkopo juu ya mkopo muuliza swali anataka amalize kulipa ili awe huru au akakope kwingine. Mjibu kwa muktadha huu na sio wa top up.

Anaenda ku reschedule, ni kitu kama top up ila hapewi pesa yoyote. Ni kama wanatengeneza mkataba mpya wenye makato mapya na muda mfupi.

Hii ni Kwa sababu makato ya Sasa hivi tayari yapo kwenye system Kwa Muda na kiasi kilichokubaliwa awali. Hivyo inabidi vigezo vya muda mfupi zaidi viingizwe kupata makato mapya.
 
Tunachokifanya tunatop up mkopo ule kwa makato makubwa zaidi na hapo muda wa marejesho utapungua. Kwahiyo inawezekana
Ana leverage hio additional income yake ya cash inflow, raha sana.
 
Hapana, vinginevyo ukakope mkopo tofauti na huo unaopitia kwa mwajiri. Kakope mkopo wa biashara, kilimo n.k huo makato yake hayatatokana na salary slip yako.
Unakopaje hii,mi nataka nina Hati.
 
Anaenda ku reschedule, ni kitu kama top up ila hapewi pesa yoyote. Ni kama wanatengeneza mkataba mpya wenye makato mapya na muda mfupi.

Hii ni Kwa sababu makato ya Sasa hivi tayari yapo kwenye system Kwa Muda na kiasi kilichokubaliwa awali. Hivyo inabidi vigezo vya muda mfupi zaidi viingizwe kupata makato mapya.
Yaani amekosa ubunifu wa kuitumia hio income ambayo addition na kuipangia income generating item, aukuoffset potential laps in inflation kwa early purchase ya baadhi ya bidhaa. Generally speaking in financial words
 
Back
Top Bottom