Oh, shukrani!Haiwezekani
Haiwezekani
Ndio inawezekana...Mi nauliza lingine hapa
Ukiwa umekopa benki wanakata salary kuna jinsi unaweza kufanya wakakubali kupokea ela nje ya salary mfano unafanya deposit unawambia wakate inawezekana?
Hapana, vinginevyo ukakope mkopo tofauti na huo unaopitia kwa mwajiri. Kakope mkopo wa biashara, kilimo n.k huo makato yake hayatatokana na salary slip yako.Mi nauliza lingine hapa
Ukiwa umekopa benki wanakata salary kuna jinsi unaweza kufanya wakakubali kupokea ela nje ya salary mfano unafanya deposit unawambia wakate inawezekana?
Dah,mafogo wa halmashauri ndio kina nani mkuu?Ngoja waje mafogo wa halmashauri watatupa muongozo.
Inawezeka sanaHabarini!
Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe 300,000/= sasa). Je, inawezekana? Km inawezekana utaratibu upoje?
Mimi niliwahi kulipa mkopo wa miaka 2 kwa mwaka mmoja CRDB.Habarini!
Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe 300,000/= sasa). Je, inawezekana? Km inawezekana utaratibu upoje?
Tunachokifanya tunatop up mkopo ule kwa makato makubwa zaidi na hapo muda wa marejesho utapungua. Kwahiyo inawezekanaHabarini!
Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe 300,000/= sasa). Je, inawezekana? Km inawezekana utaratibu upoje?
Dhamana yake inakuwa niniHapana, vinginevyo ukakope mkopo tofauti na huo unaopitia kwa mwajiri. Kakope mkopo wa biashara, kilimo n.k huo makato yake hayatatokana na salary slip yako.
Muuliza swali hataki kukopa tena top up maana yake unaongea mkopo juu ya mkopo muuliza swali anataka amalize kulipa ili awe huru au akakope kwingine. Mjibu kwa muktadha huu na sio wa top up.Tunachokifanya tunatop up mkopo ule kwa makato makubwa zaidi na hapo muda wa marejesho utapungua. Kwahiyo inawezekana
Muuliza swali hataki kukopa tena top up maana yake unaongea mkopo juu ya mkopo muuliza swali anataka amalize kulipa ili awe huru au akakope kwingine. Mjibu kwa muktadha huu na sio wa top up.
Ana leverage hio additional income yake ya cash inflow, raha sana.Tunachokifanya tunatop up mkopo ule kwa makato makubwa zaidi na hapo muda wa marejesho utapungua. Kwahiyo inawezekana
Unakopaje hii,mi nataka nina Hati.Hapana, vinginevyo ukakope mkopo tofauti na huo unaopitia kwa mwajiri. Kakope mkopo wa biashara, kilimo n.k huo makato yake hayatatokana na salary slip yako.
Yaani amekosa ubunifu wa kuitumia hio income ambayo addition na kuipangia income generating item, aukuoffset potential laps in inflation kwa early purchase ya baadhi ya bidhaa. Generally speaking in financial wordsAnaenda ku reschedule, ni kitu kama top up ila hapewi pesa yoyote. Ni kama wanatengeneza mkataba mpya wenye makato mapya na muda mfupi.
Hii ni Kwa sababu makato ya Sasa hivi tayari yapo kwenye system Kwa Muda na kiasi kilichokubaliwa awali. Hivyo inabidi vigezo vya muda mfupi zaidi viingizwe kupata makato mapya.
KumbeMimi niliwahi kulipa mkopo wa miaka 2 kwa mwaka mmoja CRDB.
Vv
AhsanteTunachokifanya tunatop up mkopo ule kwa makato makubwa zaidi na hapo muda wa marejesho utapungua. Kwahiyo inawezekana