DesperationHuku ni kuchanganyikiwa au?
Ajira serikalini lazima upite utumishi mkuu labda kama utakuwa unaomba Internship ndo upite TaESA au uende katika ofisi husika.Mkuu nafikiria kuomba Mfano TPDC, TIRDO, Wakala wa vipimo-WMA, Baraza la uhifadhi wa mazingira- NEMC, Mamlaka za maji eg MOROWASA, DAWASA n.a
😂😂Huku ni kuchanganyikiwa au?
Hilo nafahamu mkuu, ila kuna baadhi ya taasisi ambazo sijawahi kuona matangazo ya kazi zao utumishi. Ndiyo maana najiuliza kuwa kazi kwenye hzo taasisi zinapatikana kwa namna gani?Ajira serikalini lazima upite utumishi mkuu labda kama utakuwa unaomba Internship ndo upite TaESA au uende katika ofisi husika.
Ukiona hawatangazi jua kuna transfer ndani kwa ndaniHilo nafahamu mkuu, ila kuna baadhi ya taasisi ambazo sijawahi kuona matangazo ya kazi zao utumishi. Ndiyo maana najiuliza kuwa kazi kwenye hzo taasisi zinapatikana kwa namna gani?