Inawezekana kupewa uchungu ili mtu ajifungue mtoto

Inawezekana kupewa uchungu ili mtu ajifungue mtoto

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Wakuu habari

Ndugu yangu anasumbuliwa sana na kuumwa tumbo tangu alipopata ujauzito. Kwa Sasa ujauzito ni wa miezi tisa nadhani na siku kadhaa. Je anaweza kwenda hospitalini akapewa dawa au sindano apate uchungu wa kujifungua, ili ajifungue mtoto ili apumzike na maumivu

Naomba kuwasilisha
 
Pole Sana
Mpeleke Hospital Wao Watajua Wampe Huduma Gani
Hayo Unayoyasema Uchungu Afike Hospital
 
pole yake ila naskia inawezekana wanaita maji ya uchungu akipewa anapata uchungu
 
Wakuu habari

Ndugu yangu anasumbuliwa sana na kuumwa tumbo tangu alipopata ujauzito. Kwa Sasa ujauzito ni wa miezi tisa nadhani na siku kadhaa. Je anaweza kwenda hospitalini akapewa dawa au sindano apate uchungu wa kujifungua, ili ajifungue mtoto ili apumzike na maumivu

Naomba kuwasilisha
Yeah inawezekana. Watafanya induction of labour na atajifungua.
 
Back
Top Bottom