Wakuu habari
Ndugu yangu anasumbuliwa sana na kuumwa tumbo tangu alipopata ujauzito. Kwa Sasa ujauzito ni wa miezi tisa nadhani na siku kadhaa. Je anaweza kwenda hospitalini akapewa dawa au sindano apate uchungu wa kujifungua, ili ajifungue mtoto ili apumzike na maumivu
Naomba kuwasilisha