Inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa sawa kwenye mapenzi yenu?

Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha..

Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa ubaya?

Kiiufupi miaka sita hivi imepita lakini saiv mawalisiano yamerudi kiasi fulani..pamoja na kila mtu kuwa na mahusiano mengine..lakini kila mtu kamkumbuka mwenzie!!

Kana kwamba kila mtu kwenye mahusiano yake mapya kuna mapungufu..hasa binti anadai baada ya kufanyiwa ubaya na alipenda sana..akaamua kupick tu mwanaume katika watu waliokua wanamtongoza kwa hasira..!!

Nawasilisha..karibuni kwa mawazo!!!
Acaha arudi umfanyie ubaya mwingine maana ule wa mwanzo haukutosha
 
Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha..

Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa ubaya?

Kiiufupi miaka sita hivi imepita lakini saiv mawalisiano yamerudi kiasi fulani..pamoja na kila mtu kuwa na mahusiano mengine..lakini kila mtu kamkumbuka mwenzie!!

Kana kwamba kila mtu kwenye mahusiano yake mapya kuna mapungufu..hasa binti anadai baada ya kufanyiwa ubaya na alipenda sana..akaamua kupick tu mwanaume katika watu waliokua wanamtongoza kwa hasira..!!

Nawasilisha..karibuni kwa mawazo!!!
Be careful,akiamua kuachia huko aliko hata kwako kuachia tena itakuwa ni rahisi hivyo hivyo,shetani aliyeharibu kwake ndiye atakayekuja kuharibu akiwa kwako...
 
Unapiga hatua mbili mbele, tatu nyuma...

Achana na kuwaza Ex,,, atakuletea mikosi tu,,, endelea na warembo wengine...

Nini kigumu hapo,.. Kinachokurudisha ni ukubwa wa gari au siti ya dereva ndio iko vzuri...!???
 
Labla kwa kuunganisha viungo vya uzazi tuu
Ila kwa mapenzi hamna kitu hapo
 
Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha..

Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa ubaya?

Kiiufupi miaka sita hivi imepita lakini saiv mawalisiano yamerudi kiasi fulani..pamoja na kila mtu kuwa na mahusiano mengine..lakini kila mtu kamkumbuka mwenzie!!

Kana kwamba kila mtu kwenye mahusiano yake mapya kuna mapungufu..hasa binti anadai baada ya kufanyiwa ubaya na alipenda sana..akaamua kupick tu mwanaume katika watu waliokua wanamtongoza kwa hasira..!!

Nawasilisha..karibuni kwa mawazo!!!
Mada yako naifananisha na kurudi kwa Makambo Yanga. Unaona anavyopwaya
 
Mapenzi Sina hamu nayo kabisa

Ila Cha kukushauri fanya kila unaloweza usiingie kwa miguu yote

Kwa maana umeshapima urefu wa mto kwa miguu yote miwili hukuzama ukaponea chupuchupu

Chunguza kwanza either anarudi

1.Shida zinamrudisha

2.Amegundua wewe ni mwenye mapenzi ya dhati kwake
 
U
Kuna jamaa yangu ananiambiaga ukiachana na demu usiachane nae kwa 'kmmae msnge' achana nae kwa amani.
Muongo tu huyo rafk yako...ikiwezekana mle hata mitama..hii itakufanya wala usirud tena wala yeye asirud ....hii stlye yako ni kuomba aman katkat ya vita...
 
Back
Top Bottom