Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

Hiyo mikataba wanapewa wasanii wengi na pesa sio nyingi...serengeti brew anawapa wasanii wengi kutangaza bia yao kwahiyo sio issue ya pesa nyingi
 
sababu wewe unatengeneza alfu 7000 kwa siku unadhani na vidume wa dunia hii wanalia lia kama nguchiro tafuta hela acha kushangaa na vijisenti
We ni kapumbavu,unajua b 880 ni bajeti ya taasisi ngapi za nchi? Nimefanya na ninafanya kazi na milard na mpaka sasahivi hapa nipo kwenye nyumba yake ya kigamboni nampambania,Ayo ni mtu POA namjua kuliko wewe.
Ukianza kupambana kuitafuta m1 tu utajicheka mwenyewe.
 
Ahsante sana, maliza ubishi sasa yeye na diamond nani ana visenti vingi ?
 
M2 ananunua cheni la M150 atakua hana akiba money in money out
 
Kumbe ni mwandishi wa habari?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…