Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

Habari wakuu. Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi.
Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili?

Miaka 39 kazini serikalini.
Mafao hayazidi 10Million
Mshahara aliostaafia Laki 6(miaka 7)
Kabla alikua akilipwa 250K-450K

Asante
Inawezekana kwa hiki kikokotoo hakishindikani kitu.
 
Habari wakuu. Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi.
Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili?

Miaka 39 kazini serikalini.
Mafao hayazidi 10Million
Mshahara aliostaafia Laki 6(miaka 7)
Kabla alikua akilipwa 250K-450K

Asante
Mimi kuna ndugu yangu kastaafu ualimu wa shule ya msingi grade IIIA mwaka jana kapata kiinua mgongo 34 milioni kafundisha zaidi ya miaka 38.
Inasikitisha sana kwa kweli.
 
11f1f2d4-b9f0-4848-91cd-305d114073d5.jpg
 
Nguvu zote kwisha muda wote kwisha. Yaani hiyo pesa nimeingiza ndani ya miaka mitatu nikiwa shule (36M). Tujaribu sana kuoptmize time constraint.
 
Back
Top Bottom