Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

Inawezekana kwa hiki kikokotoo hakishindikani kitu.
 
Mimi kuna ndugu yangu kastaafu ualimu wa shule ya msingi grade IIIA mwaka jana kapata kiinua mgongo 34 milioni kafundisha zaidi ya miaka 38.
Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Nguvu zote kwisha muda wote kwisha. Yaani hiyo pesa nimeingiza ndani ya miaka mitatu nikiwa shule (36M). Tujaribu sana kuoptmize time constraint.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…