Habari wakuu,
Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi.
Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili?
Miaka 39 kazini Serikalini.
Mafao hayazidi 10Million
Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7)
Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K
Asante