Walimu wa evolution wanatakiwa wakamatwe wapigwe mikwaju mingi sana.
Nani alikuambia binadamu wametokana na nyani??Kama inavyosemakana binadamu alivyoumbwa ametokana na wanyama tena ikaonyeshwa kama nyani nadhani kwwnye uumbajiMungu alisahau baadhi ya vitu.
Ukiangalia nyani miguu yote ina vodole ambavyo kwenye kujishika vinajishika kwe nye kuruka miti /matawi yaani miguu ya mbele ina vidole vinajishika na miguu ya nyuma hivyo hivyo ila kwa binadamu aliweka mikono ya mbele ina vidole vinajishika kwa mfano wakati wa kupasua kuna au kulima inashika mpini wa jembe au shoka.
Sasa kwa upande wa binadamu kaweka vidole mikononi tuu hajaweka kwa binadamu hapo ndo alisahau je! Hii si ji kosa kusahau ?au alifanya kusudi ?
Ila Mungu kakupa akili, tumia akili kuweka vitu miguuni ili miguu ishike kama ya nyani.Kama inavyosemakana binadamu alivyoumbwa ametokana na wanyama tena ikaonyeshwa kama nyani nadhani kwwnye uumbajiMungu alisahau baadhi ya vitu.
Ukiangalia nyani miguu yote ina vodole ambavyo kwenye kujishika vinajishika kwe nye kuruka miti /matawi yaani miguu ya mbele ina vidole vinajishika na miguu ya nyuma hivyo hivyo ila kwa binadamu aliweka mikono ya mbele ina vidole vinajishika kwa mfano wakati wa kupasua kuna au kulima inashika mpini wa jembe au shoka.
Sasa kwa upande wa binadamu kaweka vidole mikononi tuu hajaweka kwa binadamu hapo ndo alisahau je! Hii si ji kosa kusahau ?au alifanya kusudi ?
inasikitisha sana! hii ni contradiction au omission.....?Tuliaminishwa kwenye picha