Dah! hatari sana!Ni zaii ya vyote
Hilo sio sababu ilitakiwa katikati ya mguu pale panajikunja na vidole viwe virefu ili mtu kama anapasuka kuni aweze kushika mpini wa shoka kwa miguu na kupasua hivi au kamajuu ya miti unajishika kwa miguh alafu mikono inaendelea na kazi ingine kama nyani vile😆Umesoma Mkuu? Unajua kwanini kidole gumba cha mguuni kiko mstari mmoja na vidole vingine?
Shule ulienda kucheza kubaba na kimamaWalimu wa evolution wanatakiwa wakamatwe wapigwe mikwaju mingi sana.