Inawezekana Samia kasalimu Amri na kutaka kurudi kama 2021-2022

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.

Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.

Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.

Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
 
mawazo yako yanaheshimiwa ila credibility yake is put to question/strict proof!
 
Chadema ya Sasa inasikitisha Kwakweli, wanachama wake ndo wamefikia hapa........siamini.
 
mawazo yako yanaheshimiwa ila credibility yake is put to question/strict proof!

Tusubiri tuone maana maji kwa mama yako shingoni. Badala ya kuendesha nchi kaishia kuteka vijana, kuhonga Chauma, kumfunga Lissu, kufungia Chadema. Kama ameshidwa kwa kiasi hiki atakuja kugundua kwamba tatizo sio Chadema bali Chadema ni Watanzania, Huwezi kufungia moyo wa Watanzania na akili zao!!! No reform no election. Hata Hgwajima amesema hili !! Nchi haitatawalika kwa miaka 5 ijayo na Mama anaweza hata asiwepo kama Magu
 
Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.

Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.

Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.

Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
Mbowe alishapoteza heahima hawezi kuwa mido men kati ya chadema na ccm
 
Tusubiri tuone maana maji kwa mama yako shingoni. Badala ya kuendesha nchi kaishia kuteka vijana, kuhonga Chauma, kumfunga Lissu, kufungia Chadema. Kama ameshidwa kwa kiasi hiki atakuja kugundua kwamba tatizo sio Chadema bali Chadema ni Watanzania, Huwezi kufungia moyo wa Watanzania na akili zao!!! No reform no election. Hata Hgwajima amesema hili !! Nchi haitatawalika kwa miaka 5 ijayo na Mama anaweza hata asiwepo kama Magu
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.

Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.

Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.

Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
Lolote lawezekna lakini it won't change anything kwa sababu hata huyo mbowe kwa sasa yunamtazama kwa macho manne, uaminifu wake upo kwenye question mark za wana demokrasia na wapenda mabadiliko wote, trust aliyokua nayo haipo tena
 
Mzee Warioba ambaye tangu mwanzo alionyesha kuwajali watanzania angekuwa mtu sahihi wa kutumia kufanya
upatanisho huo,yeye atachagua wadau wa kushirikiana naye,
huyu mboweee wamuache awe raia bora wasimhusishe
 
Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.

Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.

Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.

Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
Kwanza uwe na adabu we mbwa koko, Rais wetu si km huyo mamako aliyekulea hovyo. Rais amezungukwa na wadhauri mpk wa kimataifa, kumpatia Mbowe special attention ni mapenzi yake binafsi anajua na moyo wake. We kibwengo usijifanye mpiga ramli.
 
Mzee Warioba ambaye tangu mwanzo alionyesha kuwajali watanzania angekuwa mtu sahihi wa kutumia kufanya
upatanisho huo,yeye atachagua wadau wa kushirikiana naye,
huyu mboweee wamuache awe raia bora wasimhusishe
We kenge upatanishi na nani, Warioba hajawahi kuwa na rekodi nzuri ya uongozi
 
Tusubiri tuone maana maji kwa mama yako shingoni. Badala ya kuendesha nchi kaishia kuteka vijana, kuhonga Chauma, kumfunga Lissu, kufungia Chadema. Kama ameshidwa kwa kiasi hiki atakuja kugundua kwamba tatizo sio Chadema bali Chadema ni Watanzania, Huwezi kufungia moyo wa Watanzania na akili zao!!! No reform no election. Hata Hgwajima amesema hili !! Nchi haitatawalika kwa miaka 5 ijayo na Mama anaweza hata asiwepo kama Magu
Mungu awasaidie wapumbavu km huyu, hajui ht maana ya Rais, hayo maji ya nini? Hili kwl ni zombie amejitengenezea ujinga wake kichwani eti Rais sijui amekuwaje. Nyie kwl ni wehu na mnajipa umuhimu ambao haupo, Rais Samia awaze wachovu km nyie nyumbu? Kwl mmechoka akili
 
We kenge upatanishi na nani, Warioba hajawahi kuwa na rekodi nzuri ya uongozi
Mkuu mbona povu jingi?
Toa hoja wacha kujaa upepo utakufa kwa presha bure,toa hoja
Nimempendekeza Warioba kwa sababu ya umairi wake aliouonyesha kuandaa katiba ya wananchi.
Mzee alifanya kazi nzuri na wachafuzi wakafanya yao,
sasa lete hoja siyo povu,mi nguo nimeishafua.
 
Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.

Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.

Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.

Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
Mpaka sasa mbowe kajivunjia heshima yake rasmi.
Dalali mbowe umeamua kutoka rasmi uje udalalie nchi yetu
 
mawazo yako yanaheshimiwa ila credibility yake is put to question/strict proof!
Ndumbalo leo amesema wakati wa kampeni mgombea atakae Milan’s na kumkeli mwenzake atakamatwa na polisi.

Maana yake wanahofia maneno ya Lissu, atatoka gerezani si muda mrefu na reforms zitafanyika.
 
Back
Top Bottom