Inawezekana Samia kasalimu Amri na kutaka kurudi kama 2021-2022

Inawezekana Samia kasalimu Amri na kutaka kurudi kama 2021-2022

Nchi haitawaliki huku mitandaoni na kichwani mwako...lakini mbona huko nje kila kitu kipo shwari au wewe unamaanisha nchi ipi?
Huna Akili serikali zote wanaoleta vurugu Huwa ni elites sio common citizens, hivyo acha kujilisha upepo
 
Back
Top Bottom