mawazo yako yanaheshimiwa ila credibility yake is put to question/strict proof!Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.
Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.
Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.
Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
Chadema ya Sasa inasikitisha Kwakweli, wanachama wake ndo wamefikia hapa........siamini.Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.
Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.
Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.
Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
mwanachama yupiChadema ya Sasa inasikitisha Kwakweli, wanachama wake ndo wamefikia hapa........siamini.
mawazo yako yanaheshimiwa ila credibility yake is put to question/strict proof!
Mbowe alishapoteza heahima hawezi kuwa mido men kati ya chadema na ccmMsishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.
Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.
Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.
Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
achana na chawa kacharamwanachama yupi
amefikia wapi
Tusubiri tuone maana maji kwa mama yako shingoni. Badala ya kuendesha nchi kaishia kuteka vijana, kuhonga Chauma, kumfunga Lissu, kufungia Chadema. Kama ameshidwa kwa kiasi hiki atakuja kugundua kwamba tatizo sio Chadema bali Chadema ni Watanzania, Huwezi kufungia moyo wa Watanzania na akili zao!!! No reform no election. Hata Hgwajima amesema hili !! Nchi haitatawalika kwa miaka 5 ijayo na Mama anaweza hata asiwepo kama Magu
link ?EU wameshaachia KITU KIZITO!!
Lolote lawezekna lakini it won't change anything kwa sababu hata huyo mbowe kwa sasa yunamtazama kwa macho manne, uaminifu wake upo kwenye question mark za wana demokrasia na wapenda mabadiliko wote, trust aliyokua nayo haipo tenaMsishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.
Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.
Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.
Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
Kwanza uwe na adabu we mbwa koko, Rais wetu si km huyo mamako aliyekulea hovyo. Rais amezungukwa na wadhauri mpk wa kimataifa, kumpatia Mbowe special attention ni mapenzi yake binafsi anajua na moyo wake. We kibwengo usijifanye mpiga ramli.Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.
Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.
Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.
Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
We kenge upatanishi na nani, Warioba hajawahi kuwa na rekodi nzuri ya uongoziMzee Warioba ambaye tangu mwanzo alionyesha kuwajali watanzania angekuwa mtu sahihi wa kutumia kufanya
upatanisho huo,yeye atachagua wadau wa kushirikiana naye,
huyu mboweee wamuache awe raia bora wasimhusishe
Mungu awasaidie wapumbavu km huyu, hajui ht maana ya Rais, hayo maji ya nini? Hili kwl ni zombie amejitengenezea ujinga wake kichwani eti Rais sijui amekuwaje. Nyie kwl ni wehu na mnajipa umuhimu ambao haupo, Rais Samia awaze wachovu km nyie nyumbu? Kwl mmechoka akiliTusubiri tuone maana maji kwa mama yako shingoni. Badala ya kuendesha nchi kaishia kuteka vijana, kuhonga Chauma, kumfunga Lissu, kufungia Chadema. Kama ameshidwa kwa kiasi hiki atakuja kugundua kwamba tatizo sio Chadema bali Chadema ni Watanzania, Huwezi kufungia moyo wa Watanzania na akili zao!!! No reform no election. Hata Hgwajima amesema hili !! Nchi haitatawalika kwa miaka 5 ijayo na Mama anaweza hata asiwepo kama Magu
Mkuu mbona povu jingi?We kenge upatanishi na nani, Warioba hajawahi kuwa na rekodi nzuri ya uongozi
Mpaka sasa mbowe kajivunjia heshima yake rasmi.Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi.
Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi.
Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu kwa miaka ijayo maana moto umeshawaka chini chini sasa msishangae huyu Mama kubadilika kabla hata ya mwezi wa nane haujaisha.
Hii sio kwa matakwa yake bali hali halisi ya nchi.
Ndumbalo leo amesema wakati wa kampeni mgombea atakae Milan’s na kumkeli mwenzake atakamatwa na polisi.mawazo yako yanaheshimiwa ila credibility yake is put to question/strict proof!