comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Kwa mwendo WA ukataji ticket wa mashabiki wa simbasc ulivyokua na Kasi wanaeza kuuza ticket zote siku mbili kabla ya Tamasha, kwasasa bado 15% tuu wauze ticket zote, wakati kule upande wa Yangasc bado mambo magumu! Tena sanaaaa
Mimi Kwanza naona kinqchowaponza zaidi yanga kuna mvutano kwa wahamasishaji wao, Haji na Allykamwe hawapo pamoja, pia inaonekana kama Yanga wamempotezea Haji Manara.
Jana Haji Manara kapiga interview wasafifm lakini ukiingia kwenye page za Yanga hawajapost kitu NI kama hawamtambui zungu, Leo wapo temeke hospital wanajitolea kufanya usafi NI alikamwe yupo mstari wa mbele haijulikani zungu yupo wapi, na kinachofanyika temeke Leo ndio wanakipost Sana hata kwenye page zao za mitandao, inamaana NI kama wamemlia wa mbuzi zungu😅😅😅
Naskia hata Ile press ya Kwanza aliyokuwepo Allykamwe na zungu ilikua isipostiwe kwenye page za club kwa sababu ya uwepo wa zungu, ila naskia zungu akafosi akachukua simu ya mtu wa digital akapost mwenyewe.
Hii vita NI Kali Sana sijui Nani atashinda
Simba wanakwamisha UBAYA UBWELA
Wakati Yangasc wao wanasema Wehuogopi?? Wakati huo huo Manara yeye anasema udugu umala, Yani wao kwa wao wanavutana