Inawezekana Taifa letu limelaaniwa

Inawezekana Taifa letu limelaaniwa

Tuna silaha za moto kuua watu kwenye Mbuga za wanyama kisa walienda tu kuwinda swala.

Tuna Magari ya TRA (land cruiser) mipakani kuwakamata vijana wanabeba sukari kg 20 kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine na kuwapa kesi za uhujumu uchumi.

Tuna boti za patrol ziwani 24/7 kukamata wavuvi na kuwanyang'anya samaki zao na kuwapa wengine kuwapa kesi mbaya za uhujumuuchumi lkn hatuna boti za kuokoa watu miaka hii ya 2022!!.

Angalia watu walivyopigwa risasi Loliondo kisa wanaamishwa kwa nguvu lakini polisi hawawekezi nguvu hiyo kwenye kitengo Cha uokozi na zomamoto!!

Magari yanaua kila siku kwa mwendokasi na kujaza kupita kiasi wakati asikari wakiwa wamejazana barabarani kuchukua Rushwa 24/7

Utawala wa Mkapa ilianguka Mv Bukoba lakini tulichukulia Kama bahati mbaya na mipango ya Mungu lakini kwa miaka hiyo tulikuwa bado

Ikaja treni utawala wa Mkapa na Kikwete tukasema mipango ya Mungu.

Utawala wa Kikwete magari yakaua watu kweli kwa sababu ya Rushwa barabarani na vipuri fake vya magari ambavyo mapaka leo vinatutesa kwa ajari nyingi za barabarani.

Lakini mpaka leo tumeshindwa kudhibiti Ili jambo na ajari ni maradufu ya mwanzo.

Ukerewe watu walikufa kizembe ndani ya utawala wa Magufuli

Sasa Ndege imeua kizembe kabisa ndani ya utawala wa Samia..

Vaeni viatu vya watoto, wajane na wazee waliokuwa wakizitegemea familia hizi za walioondoka kizembe ndio mtajua ukweli kwamba laana ndio itaongezeka..

Polisi wanatumika kuua na kufunga watu wasio na hatia wakati kitengo chao kimefeli kwenye kuwaudumia raia.

Angalia kifo Cha Akwilina R.I.P mnafikiri nyie mtakifa kwa usalama Kama majukumu mnayotakiwa kutimiza yanawashinda 100% .

Na leo nawaambia Kama tulilaniwa basi kuelekea mwisho wa mwaka mnajua wote nini uwa kinatokea .

Wacha tufe tu wacha mtuue kwa uzembe wa usimamizi lakini mjue ajari hizi hata nyie zitawabeba.!

Nchi hii ina laana ya kutokuwa na uwajibikaji wa viongozi na mifumo mibovu ya kupatikana kwa viongozi ambao wanatuongoza ndio maana mwenye Mungu anawanyima Maarifa.
Ukitaka kujua vikosi viko active au la wambie kuna Mkutano wa Katiba Mpya😅😅
 
Yanahitajika mabadiliko ya fikra tu.
Wananchi wakiwa na fikra chanya, matokeo yake vyombo vya dola, wanasiasa na viongozi watabadilika kwa kuwa wote hutokana na wananchi.
Kwa sasa asilimia ya wananchi wana fikra za kitumwa za kusifu na kuabudu wanasiasa na viongozi.
Hili nalo neno
 
Tuna silaha za moto kuua watu kwenye Mbuga za wanyama kisa walienda tu kuwinda swala.

Tuna Magari ya TRA (land cruiser) mipakani kuwakamata vijana wanabeba sukari kg 20 kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine na kuwapa kesi za uhujumu uchumi.

Tuna boti za patrol ziwani 24/7 kukamata wavuvi na kuwanyang'anya samaki zao na kuwapa wengine kuwapa kesi mbaya za uhujumuuchumi lkn hatuna boti za kuokoa watu miaka hii ya 2022!!.

Angalia watu walivyopigwa risasi Loliondo kisa wanaamishwa kwa nguvu lakini polisi hawawekezi nguvu hiyo kwenye kitengo Cha uokozi na zomamoto!!

Magari yanaua kila siku kwa mwendokasi na kujaza kupita kiasi wakati asikari wakiwa wamejazana barabarani kuchukua Rushwa 24/7

Utawala wa Mkapa ilianguka Mv Bukoba lakini tulichukulia Kama bahati mbaya na mipango ya Mungu lakini kwa miaka hiyo tulikuwa bado

Ikaja treni utawala wa Mkapa na Kikwete tukasema mipango ya Mungu.

Utawala wa Kikwete magari yakaua watu kweli kwa sababu ya Rushwa barabarani na vipuri fake vya magari ambavyo mapaka leo vinatutesa kwa ajari nyingi za barabarani.

Lakini mpaka leo tumeshindwa kudhibiti Ili jambo na ajari ni maradufu ya mwanzo.

Ukerewe watu walikufa kizembe ndani ya utawala wa Magufuli

Sasa Ndege imeua kizembe kabisa ndani ya utawala wa Samia..

Vaeni viatu vya watoto, wajane na wazee waliokuwa wakizitegemea familia hizi za walioondoka kizembe ndio mtajua ukweli kwamba laana ndio itaongezeka..

Polisi wanatumika kuua na kufunga watu wasio na hatia wakati kitengo chao kimefeli kwenye kuwaudumia raia.

Angalia kifo Cha Akwilina R.I.P mnafikiri nyie mtakifa kwa usalama Kama majukumu mnayotakiwa kutimiza yanawashinda 100% .

Na leo nawaambia Kama tulilaniwa basi kuelekea mwisho wa mwaka mnajua wote nini uwa kinatokea .

Wacha tufe tu wacha mtuue kwa uzembe wa usimamizi lakini mjue ajari hizi hata nyie zitawabeba.!

Nchi hii ina laana ya kutokuwa na uwajibikaji wa viongozi na mifumo mibovu ya kupatikana kwa viongozi ambao wanatuongoza ndio maana mwenye Mungu anawanyima Maarifa.
Unakumbuka Mv nyerere kule Ukerewe na Ukara?

Unakumbuka Mv Skygirt ya zanzibar na Spice Islanders ya 2012??
 
Hakuna kitu kama hicho walahi!
Ondoa upuuzi wa laana hapa [emoji2959]
Peleka huko kwenu hizo laana walahi!
Koma [emoji35]
 
Back
Top Bottom