Inawezekana Taifa letu limelaaniwa

Ukitaka kujua vikosi viko active au la wambie kuna Mkutano wa Katiba Mpya😅😅
 
Hili nalo neno
 
Tutaogopa hata kupanda hilo lisgr kama hali iko hivi.

Serikali haijali wananchi wake, si ajabu hiyo sgr itakua ya kiwango cha chini kisicho na usalama maana hii serikali sio ya kuiaamini kabisa.
Kwanza viongozi hawatalipanda
 
Unakumbuka Mv nyerere kule Ukerewe na Ukara?

Unakumbuka Mv Skygirt ya zanzibar na Spice Islanders ya 2012??
 
Hakuna kitu kama hicho walahi!
Ondoa upuuzi wa laana hapa [emoji2959]
Peleka huko kwenu hizo laana walahi!
Koma [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…