Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Subiri bado wiki mbili tu utajua halali au haramu. Maana hamuishi kila uchao kulalamika wakati kupaka rangi tu jengo la makao makuu ya chama chenu mmeshindwa na mnaona halali wapiga dili wakubwa nyie
Mkuu unakosea. Mimi ni shabiki namba moja ya Magufuli na nitampa kura yangu. Gari anazotumia kwenye kampeni zake hazina hio namba zimeandikwa CCM. Hii ninayoisema hapa ipo hadi kwenye Noah,Opa,Vits haiko sawa.
Tuache mambo ya vyama. Kuna mdau kaonesha namba ya TL ni yeye nayo iko kwenye magari tofauti nao sio sawa pia.
 
Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Kwa hiyo inaruhusiwa number moja kumilikiwa na magari 40 mfano hata kama ni private?
 
Mkuu unakosea. Mimi ni shabiki namba moja ya Magufuli na nitampa kura yangu. Gari anazotumia kwenye kampeni zake hazina hio namba zimeandikwa CCM. Hii ninayoisema hapa ipo hadi kwenye Noah,Opa,Vits haiko sawa.
Tuache mambo ya vyama. Kuna mdau kaonesha namba ya TL ni yeye nayo iko kwenye magari tofauti nao sio sawa pia.
Wanayo pia mengi, kuna haya mawili V8 na Prado
IMG_20201014_123715.jpg
IMG_20201014_123654.jpg
IMG_20201008_233345.jpg
 
Umeziona mkuu au bado unazitafakari [emoji28][emoji23]

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Ungeweka picha za gari tofaouti namba moja zote zionekane mbele tu au nyuma tu... Unaponiwekea picha moja ya mbele na nyingine ya nyuma NIKIKUAMBIA NI GARI MOJA ILA UMEPIGA PICHA MBELE NA NYUMA UTABISHA? Clear my doubt kwa kuniwekea picha za gari hizo zote mbele au zote nyuma... AU LA UWEKE MBELE KWA NYUMA NYINGINE LABDA NI VX NA NYINGINE LABDA PRADO
 
Nimekuwekea prado na vx v8 au huna macho wewe au hizo unaona ni gari ya aina moja ????

Hata rangi huoni kama ziko tofauti
Angalia tena hapo chini
Usikurupuke siku nyingine View attachment 1600133
Ej-WeeeWoAE1Aas.jpg

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ungeweka picha za gari tofaouti namba moja zote zionekane mbele tu au nyuma tu... Unaponiwekea picha moja ya mbele na nyingine ya nyuma NIKIKUAMBIA NI GARI MOJA ILA UMEPIGA PICHA MBELE NA NYUMA UTABISHA? Clear my doubt kwa kuniwekea picha za gari hizo zote mbele au zote nyuma... AU LA UWEKE MBELE KWA NYUMA NYINGINE LABDA NI VX NA NYINGINE LABDA PRADO
1
Ejqs0VaWoAABBQo.jpg

2

Haya nimeshakuwekea hizo picha una lingine la kusema au la kujitetea ??????????????

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Niambie jambo ambalo haliwezekani kwa CCM,liwe jema au baya.Fanya tu kazi zako mkuu.Ukitaka kujua yanayofanyika ktk nchi hii utajikuta umepunguza hata siku zako za kuishi ukafa mapema.
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Ukitaka kuyajua yote yanayofanyika ktk nchi hii utakufa kabla ya siku zako.Mengine bora ukawa mtazamaji tu.
 
Ninalo sana tu....
Wote CCM na CDM waamekosea kwenye hili..Usije ukadhani kwa vile CDM wamefanya hayo, basi ni halali kwa CCM kuyafanya.. TWO WRONGS......
[emoji23][emoji23][emoji23] unafurahisha kijana yaan unabadilika kila mda mara CDM hawana hizo namba mara gari ni moja sasa hivi unaongea hayo tena mzee wa kubadili gear

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine niyakitoto tu.Wala usiumize sana kichwa kwasababu kama anguko linakuja litakuja tu ata wakijiandika mwili mzima.
 
Kila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?
Du hii kali..yaani J P M.ni kifupi cha huyo mtawala?
 
Back
Top Bottom