Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Kalipe hela t.r.a uone kama hawakupatii ruhusa.
Unachokitetea hukijui.... Hivi kwa mfano mdogo tu, wale trafic polisi wanaokuwa barabarani na vimashine vyao vya kukagulia magari kama yanadaiwa au la, wakikuta gari namba T 2020 JPM linadaiwa, watalidai lipi AU WATALIKAMATA LIPI kati ya hayo yote yenye namba hiyo..??? KUNA VITU KUVITETEA INABIDI MTU UWE NA AKILI YA MWENDAWAZIMU
 
Hili ni tatizo, halafu TRA na Polisi wamekaa kimya. Hii nchi imekaa kipumbavu sana.

Wengi tuna mashaka kama ni kweli zimesajiriwa huko TRA kwa sababu hizi.
1/Huwezi kusajiri jina au utambulisho unaofafana na mwingine. Ni kosa kisheria.

2/Hizo gari zimekuwa nyingi huku mtaani. Sio rahisi kwa watu kutoa pesa zao tu ili plate number isome kitu cha hivyo.

3/Hadhi ya baadhi ya magari iko chini sana, sio jambo la kawaida kwa gari za gharama nafuu kuwa na special plate number.
 
Ila picha zako ni za gari moja.
Kama nao wanazo zaidi ya moja kwa namba moja,ni uvunjifu wa sheria ule ule wanaoufanya CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo je !!
Una lingine la kusema ?????
Ej-WeeeWoAE1Aas.jpg

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Unachokitetea hukijui.... Hivi kwa mfano mdogo tu, wale trafic polisi wanaokuwa barabarani na vimashine vyao vya kukagulia magari kama yanadaiwa au la, wakikuta gari namba T 2020 JPM linadaiwa, watalidai lipi AU WATALIKAMATA LIPI kati ya hayo yote yenye namba hiyo..??? KUNA VITU KUVITETEA INABIDI MTU UWE NA AKILI YA MWENDAWAZIMU
Kawaulize..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Hayi ni magari yamewekwa namba au jina moja tu kwa ajiri ya kampeni, lakini yana namaba tofauti kila moja. Na kwa vile yanatumika kwa kazi maalumu hakuna shida, ilimladi yanatoa taarifa kwenye vyombo husika.
Hata wewe unaweza fanya hivyo kwenye magari yako, ila utalipia ghalama ya hilo jina kwenye magari hata kama yatakuwa 50
 
Kila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?
Umeshasema kila siku mnapiga kelelee kuhusu serikali ya ccm na bado mtapiga kelele sanaaà
 
Ndio wanazo zaid ya moja niliziona kwenye msafara wao

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app

Kwanini usifanye hivi, hatimaye tumeiga kwenu ila tu bado hatujamaliza kuiga.

Tukubaliane ukisikia mawe na hata mabomu yamevurumishwa hapo sasa ndiyo tutakuwa tumeigana sawa sawa.

Hapo ndiyo mtatambua hamnayo hati miliki ya peke yenu!
 
Hayi ni magari yamewekwa namba au jina moja tu kwa ajiri ya kampeni, lakini yana namaba tofauti kila moja. Na kwa vile yanatumika kwa kazi maalumu hakuna shida, ilimladi yanatoa taarifa kwenye vyombo husika.
Hata wewe unaweza fanya hivyo kwenye magari yako, ila utalipia ghalama ya hilo jina kwenye magari hata kama yatakuwa 50
Duh kazi ipo.
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Subiri bado wiki mbili tu utajua halali au haramu. Maana hamuishi kila uchao kulalamika wakati kupaka rangi tu jengo la makao makuu ya chama chenu mmeshindwa na mnaona halali wapiga dili wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom