Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu

Acha ujinga number identical haziruhusiwi hata kama unazilipia
 
chauma na sisi tukamua kutoa zetu itakuwa ni sawa?
tunataka iwe,
T Ubwabaa 2020
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huyu hajawahi kumiliki gari hawezikujua hizo special vehicle plate number na zinavyooperate!
Mkuu ungejaribu hata kupitia komenti kwanza za wengine ungeongeza maarifa kidogo

Hiyo unayoita “ Special Vehicle Plate Number” tumeelezea mbona?? Namba spesho na namba maalum nadhani ndo unaziongelea. Na sheria yake iliyobadilishwa kuruhusu namba maalum imewekwa hapo juu
 
Za makanjanja tu wa mjini, inaweka na kutolewa (inavalishwa juu ya plate namba halisi)
 
Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Hujaelewa concept.

Likitumika kwenye uhalifu utalitofautishaje na lingine? Unajua kwanini kila gari ina namba yake tofauti na nyingine?
 
Mkuu gari mbili haziwezi kuwa na namba moja.

Za hawa jamaa hata mikoa mbali mbali namba hiyo hiyo.

Uvunjaji sheria za nchi wa wazi sembuse kwa sheria, kanuni au taratibu za uchaguzi walizoweka wao?

Aibu kwake 'kubwa jinga bwana manoti' hapo kwenye tume na njaa zako zilizo pitiliza.

Disgusting!
Nimeona had gari za CDM kwenye msafara wa lissu zimeandikwa LISSU NI YEYE so wote wale wale tu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini wafuasi na Vibaraka wa CCM wote Wana akili za kuokoteza?
Palipoandikwa "Lissu Ni Yeye" hakuna number yoyote pale. Inaonekana hujui hata maana ya plate number! Jinga kabisa.
...
Ejqs0VaWoAABBQo.jpg

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ungejaribu hata kupitia komenti kwanza za wengine ungeongeza maarifa kidogo

Hiyo unayoita “ Special Vehicle Plate Number” tumeelezea mbona?? Namba spesho na namba maalum nadhani ndo unaziongelea. Na sheria yake iliyobadilishwa kuruhusu namba maalum imewekwa hapo juu
Mkuu,huyo uliyemjibu ni sukule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom