mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
T2020 TLS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa mada nzuri sana ya kujadili vizuri, bahati mbaya imevamiwa na washabiki wenzangu wa chadema kwa jazba kama ilivyo kawaida.Ha ha ha upande huu wana hasira, upande huu wanatetea bila kuangalia msingi wa swali.
Je, za TL nazo ni nyingi kama hizi zinazotumia T2020 JPM ?Ilikuwa mada nzuri sana ya kujadili vizuri, bahati mbaya imevamiwa na washabiki wenzangu wa chadema kwa jazba kama ilivyo kawaida.
Hata gari za Lissu nazo zina plate number zimeandkiwa "LISSU NI YEYE"
Ila kwa kuww hawa wenzetu akili hawana hata hilo nalo hawalijui
Picha
View attachment 1592269
Je, za TL nazo ni nyingi kama hizi zinazotumia T2020 JPM ?
Swali ni kwamba inawezekana vipi zaidi ya gari moja zitumie namba inayofanana? Ushawahi kuona mtu mwenye namba kama yako ya simu?Kuhusu uhalali/utaratibu wa kutumia sijui..Nimesema T2020JPM zinaweza kuwa namba maalum kutokana na utitiri wa watu kuzitumia..500K ni rahisi ukilinganisha na 10M..
Kinachojadiliwa ni gari zaidi ya moja kuwa na mfanano wa namba au jina kwa kila kitu. Acha kuwa na kichwa kigumu. Huoni kuwa hilo ni kosa? Yani mashabiki wa Magufuli mko hovyo hovyoIlikuwa mada nzuri sana ya kujadili vizuri, bahati mbaya imevamiwa na washabiki wenzangu wa chadema kwa jazba kama ilivyo kawaida.
Hata gari za Lissu nazo zina plate number zimeandkiwa "LISSU NI YEYE"
Ila kwa kuww hawa wenzetu akili hawana hata hilo nalo hawalijui
Picha
View attachment 1592269
Hao ndio waalifu wenyewe tayari
Kinachojadiliwa ni gari zaidi ya moja kuwa na mfanano wa namba au jina kwa kila kitu. Acha kuwa na kichwa kigumu. Huoni kuwa hilo ni kosa? Yani mashabiki wa Magufuli mko hovyo hovyo
Pengine mtu itabidi awe more specific kwenye maelezo yake. Mfano, aina ya gari, rangi yake, muda tukio lilipotokea, eneo tukio lilipotokea n.k.Asiposimama? Kawaida asiposimama watu wanakariri namba tu ila ukikariri namba hii watakamata gari ipi?
Sheria? Au hujui kuna upande wa jamii ambao sheria hazi-apply kwao?Siyo kosa kisheria..!? Unakuwaje na namba zaidi ya moja kwa gari moja..!?
Mkuu huyu hajawahi kumiliki gari hawezikujua hizo special vehicle plate number na zinavyooperate!Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Hivi uko Tanzania mkuu kweli?? Hujaona magari yaliyo na plate number za majina ya watu mkuu? Kuna MO, JAVAN n.k hata wewe unaweza kupata plate kwa jina lako unalipia TZS 5,000,000.00 kwa mwaka kama hiyo fee haijabadirika.Kila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?