Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Mwenye dola anaweza kufanya atakalo... kwa muda husika.
 
Kuhusu uhalali/utaratibu wa kutumia sijui..Nimesema T2020JPM zinaweza kuwa namba maalum kutokana na utitiri wa watu kuzitumia..500K ni rahisi ukilinganisha na 10M..
Ok
 
Yapo yaliyoandikwa PLATINUMZ pia.Hata wewe unaweza.

Acha ungese wewe.
Achana na huyo PLATINUMZ...!! The issue hapa ni Magari yenye T2020 JPM ikimaanisha Tanzania mwaka huu wa 2020(T2020) ni John Pombe Magufuli(JPM)...!!!Kampeni za kipuuzi kabisa kuwahi kufanywa na MafisiCCM tokeaLumumba!
 
Kwa hio hizi No. Maalumu 'za kiserikali' sasa mtu binafsi anaruhusiwa kuzisajili sio?

Kwa mfano hii:T 2020 JPM umaalumu wake unakua ni upi kulinganisha na hizo No. Binafsi.?

Namba binafsi ni zile kama PLATNUMZ, DELINA, JAVIS nk hizo zinalipiwa mil 10. Haziko kabisa kwenye mfumo wa kawaida

Namba maalum ni kwamba unaomba zilizo kwenye mfumo ila zinakua maalum kama zile za Mama Salma na wanae na mzee JK T 888 DDD au T 666 CCC yaan wakati wanatoa namba hizi wanazireserve wanauza 500,000 badala ya 250,000 ya kawaida
 
Ya 500,000 ndio kila mtu anatumia sio. Kama Mimi nikilipia 500,000 kwa T2020 RNDO mke wangu atatumia,mtoto wangu,mjomba angu,shangazi na Baba mdogo na yeyote namba hio hio?!

Hapana kwanza T2020 JPM haiingii kwenye kundi la namba maalum. Hii iko kwenye kundi la namba binafsi(10,000,000) miaka mi3

Na pia inabidi iwe na namba za nyongeza. Kama yale magari yaliyo kwenye msafara kabisa wa JPM analotumia yeye ni CCM, lile semi la TOT kichwa ni CCM1 na Trela CCM2 na zingine zile VX za kijani zilo CCM.

Hawa wa huku mtaani T 2020 JPM sijui wameweka kwa utaratibu gani. Na pia uendeshaji wao sasa ni wa Vurugu. mwezi wa 7 kuna BMW moja nusu isababishe ajali maeneo ya vikonje Dodoma alitala kutugonga anaovertake sehemu mbaya na ana namba hizo T2020 JPM
 
Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Sio hivyo hata kidogo! No kweli namba binafsi zinalipiwa lakini namba moja au jina moja huwezi kulipia magari mawili.

Yaani siwezi Prado yangu nikailipia namba CHAKAZA 2020 na kale ka VITZ nako nikalipa CHAKAZA 2020.

Kinachofanyika ninuvinjifu mkubwa was sheria za barabarani tu.
 
Namba binafsi ni zile kama PLATNUMZ, DELINA, JAVIS nk hizo zinalipiwa mil 10. Haziko kabisa kwenye mfumo wa kawaida

Namba maalum ni kwamba unaomba zilizo kwenye mfumo ila zinakua maalum kama zile za Mama Salma na wanae na mzee JK T 888 DDD au T 666 CCC yaan wakati wanatoa namba hizi wanazireserve wanauza 500,000 badala ya 250,000 ya kawaida
Nimekuelewa vizuri sana.
 
Hapana kwanza T2020 JPM haiingii kwenye kundi la namba maalum. Hii iko kwenye kundi la namba binafsi(10,000,000) miaka mi3

Na pia inabidi iwe na namba za nyongeza. Kama yale magari yaliyo kwenye msafara kabisa wa JPM analotumia yeye ni CCM, lile semi la TOT kichwa ni CCM1 na Trela CCM2 na zingine zile VX za kijani zilo CCM3..
Nimekuelewa vizuri sana.
 
Tumetapakaa
EhVKcoUWkAElbPa.jpg
 
Acha ungese wewe.
Achana na huyo PLATINUMZ...!! The issue hapa ni Magari yenye T2020 JPM ikimaanisha Tanzania mwaka huu wa 2020(T2020) ni John Pombe Magufuli(JPM)...!!!Kampeni za kipuuzi kabisa kuwahi kufanywa na MafisiCCM tokeaLumumba!

"Utawala wa kishamba "(in Abdulrahman Kinana's voice)
 
Acha ungese wewe.
Achana na huyo PLATINUMZ...!! The issue hapa ni Magari yenye T2020 JPM ikimaanisha Tanzania mwaka huu wa 2020(T2020) ni John Pombe Magufuli(JPM)...!!!Kampeni za kipuuzi kabisa kuwahi kufanywa na MafisiCCM tokeaLumumba!
Me nafikiri ungeleta hoja kuliko hayo matusi.Kutukana hakukufanyi uonekane shujaa,hakufanyi yale unayoyatamani yatokee.Nimeamua kukupuuza.
 
zipo kila mkoa yaani, HATA MM SIELEWI HAYO MAGARI VEPE
 
Binafsi nimeona hizo gari na mpaka sasa nashindwa kuelewa hizi namba ni namba za aina gani kwani sio jina la mtu bali ni herefu.
 
Kuwa kiongozi raha sana maana unaweza kufanya chochote na mtu hasikuulize. Ndiyo maana wanapigana usiku na mchana si kwa ajili ya kutusaidia ki ukweli bali ni ili wale raha na familia zao angalau kwa mda mfupi Mungu aliotupa kuishi hapa duniani.

Ninachoomba tu wafuate haki maana Mungu anayaona yote mema na mabaya wanayoyafanya na maombi yangu kwao Mungu awape macho ya kutenda wema kwa kuwa kutafuta uongozi kwa kufanya uovu nafsi yako itakuhukumu siku zote ukiwa kwenye hicho kiti.
 
Back
Top Bottom