Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
KaliUkienda polisi na wao watakushangaa umepata wapi ujasiri wa kureport jambo hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaliUkienda polisi na wao watakushangaa umepata wapi ujasiri wa kureport jambo hilo.
Yapo yaliyoandikwa PLATINUMZ pia.Hata wewe unaweza.
Okay..Kalagabaho....!!!
CHADEMA Wana data zote za magari hayo. Kuna mpango mkakati wa kufungua kesi Mahakama Kuu ku-challenge huu upuuzi wa CCM. ambao ni kinyume Cha Katiba na Tume ya Uchaguzi.
Kwa hio hizi No. Maalumu 'za kiserikali' sasa mtu binafsi anaruhusiwa kuzisajili sio?
Kwa mfano hii:T 2020 JPM umaalumu wake unakua ni upi kulinganisha na hizo No. Binafsi.?
sawa we matako me naona yangeandikwa T2020 jiwe ndio ingependeza zaidWewe nyau inatakiwa zingeandikwa T 2020 JPM 1, T 2020 JPM 2,......
Sema kingine
Ya 500,000 ndio kila mtu anatumia sio. Kama Mimi nikilipia 500,000 kwa T2020 RNDO mke wangu atatumia,mtoto wangu,mjomba angu,shangazi na Baba mdogo na yeyote namba hio hio?!
Hao ndio waalifu wenyewe tayariNikweli hata mimi nimeziona, sijui zinatolewaje!
Wahalifu pia wanaweza tumia mwanya huo wakatekeleza jambo lao.
Sio hivyo hata kidogo! No kweli namba binafsi zinalipiwa lakini namba moja au jina moja huwezi kulipia magari mawili.Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
🤣 🤣 🤣 🤣Ukienda polisi na wao watakushangaa umepata wapi ujasiri wa kureport jambo hilo.
Nimekuelewa vizuri sana.Namba binafsi ni zile kama PLATNUMZ, DELINA, JAVIS nk hizo zinalipiwa mil 10. Haziko kabisa kwenye mfumo wa kawaida
Namba maalum ni kwamba unaomba zilizo kwenye mfumo ila zinakua maalum kama zile za Mama Salma na wanae na mzee JK T 888 DDD au T 666 CCC yaan wakati wanatoa namba hizi wanazireserve wanauza 500,000 badala ya 250,000 ya kawaida
Nimekuelewa vizuri sana.Hapana kwanza T2020 JPM haiingii kwenye kundi la namba maalum. Hii iko kwenye kundi la namba binafsi(10,000,000) miaka mi3
Na pia inabidi iwe na namba za nyongeza. Kama yale magari yaliyo kwenye msafara kabisa wa JPM analotumia yeye ni CCM, lile semi la TOT kichwa ni CCM1 na Trela CCM2 na zingine zile VX za kijani zilo CCM3..
Acha ungese wewe.
Achana na huyo PLATINUMZ...!! The issue hapa ni Magari yenye T2020 JPM ikimaanisha Tanzania mwaka huu wa 2020(T2020) ni John Pombe Magufuli(JPM)...!!!Kampeni za kipuuzi kabisa kuwahi kufanywa na MafisiCCM tokeaLumumba!
Me nafikiri ungeleta hoja kuliko hayo matusi.Kutukana hakukufanyi uonekane shujaa,hakufanyi yale unayoyatamani yatokee.Nimeamua kukupuuza.Acha ungese wewe.
Achana na huyo PLATINUMZ...!! The issue hapa ni Magari yenye T2020 JPM ikimaanisha Tanzania mwaka huu wa 2020(T2020) ni John Pombe Magufuli(JPM)...!!!Kampeni za kipuuzi kabisa kuwahi kufanywa na MafisiCCM tokeaLumumba!
Huku sio mbelez?!Tumetapakaa View attachment 1592172