RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #361
Mkuu unakosea. Mimi ni shabiki namba moja ya Magufuli na nitampa kura yangu. Gari anazotumia kwenye kampeni zake hazina hio namba zimeandikwa CCM. Hii ninayoisema hapa ipo hadi kwenye Noah,Opa,Vits haiko sawa.Subiri bado wiki mbili tu utajua halali au haramu. Maana hamuishi kila uchao kulalamika wakati kupaka rangi tu jengo la makao makuu ya chama chenu mmeshindwa na mnaona halali wapiga dili wakubwa nyie
Tuache mambo ya vyama. Kuna mdau kaonesha namba ya TL ni yeye nayo iko kwenye magari tofauti nao sio sawa pia.