Mkuu unakosea. Mimi ni shabiki namba moja ya Magufuli na nitampa kura yangu. Gari anazotumia kwenye kampeni zake hazina hio namba zimeandikwa CCM. Hii ninayoisema hapa ipo hadi kwenye Noah,Opa,Vits haiko sawa.Subiri bado wiki mbili tu utajua halali au haramu. Maana hamuishi kila uchao kulalamika wakati kupaka rangi tu jengo la makao makuu ya chama chenu mmeshindwa na mnaona halali wapiga dili wakubwa nyie
Kwa hiyo inaruhusiwa number moja kumilikiwa na magari 40 mfano hata kama ni private?Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Huyo Tulia ni mweupe?
😂😂😂😂 nicheus mangara mkaa ukasome
Wanayo pia mengi, kuna haya mawili V8 na PradoMkuu unakosea. Mimi ni shabiki namba moja ya Magufuli na nitampa kura yangu. Gari anazotumia kwenye kampeni zake hazina hio namba zimeandikwa CCM. Hii ninayoisema hapa ipo hadi kwenye Noah,Opa,Vits haiko sawa.
Tuache mambo ya vyama. Kuna mdau kaonesha namba ya TL ni yeye nayo iko kwenye magari tofauti nao sio sawa pia.
Duh naona beberu anatoa support kwa mgombea na mwakilishi wao!Wanayo pia mengi, kuna haya mawili V8 na Prado
View attachment 1599787View attachment 1599788View attachment 1599789
Ungeweka picha za gari tofaouti namba moja zote zionekane mbele tu au nyuma tu... Unaponiwekea picha moja ya mbele na nyingine ya nyuma NIKIKUAMBIA NI GARI MOJA ILA UMEPIGA PICHA MBELE NA NYUMA UTABISHA? Clear my doubt kwa kuniwekea picha za gari hizo zote mbele au zote nyuma... AU LA UWEKE MBELE KWA NYUMA NYINGINE LABDA NI VX NA NYINGINE LABDA PRADOUmeziona mkuu au bado unazitafakari [emoji28][emoji23]
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Nimekuwekea prado na vx v8 au huna macho wewe au hizo unaona ni gari ya aina moja ????Ungeweka picha za gari tofaouti namba moja zote zionekane mbele tu au nyuma tu... Unaponiwekea picha moja ya mbele na nyingine ya nyuma NIKIKUAMBIA NI GARI MOJA ILA UMEPIGA PICHA MBELE NA NYUMA UTABISHA? Clear my doubt kwa kuniwekea picha za gari hizo zote mbele au zote nyuma... AU LA UWEKE MBELE KWA NYUMA NYINGINE LABDA NI VX NA NYINGINE LABDA PRADO
1Ungeweka picha za gari tofaouti namba moja zote zionekane mbele tu au nyuma tu... Unaponiwekea picha moja ya mbele na nyingine ya nyuma NIKIKUAMBIA NI GARI MOJA ILA UMEPIGA PICHA MBELE NA NYUMA UTABISHA? Clear my doubt kwa kuniwekea picha za gari hizo zote mbele au zote nyuma... AU LA UWEKE MBELE KWA NYUMA NYINGINE LABDA NI VX NA NYINGINE LABDA PRADO
2Ungeweka picha za gari tofaouti namba moja zote zionekane mbele tu au nyuma tu... Unaponiwekea picha moja ya mbele na nyingine ya nyuma NIKIKUAMBIA NI GARI MOJA ILA UMEPIGA PICHA MBELE NA NYUMA UTABISHA? Clear my doubt kwa kuniwekea picha za gari hizo zote mbele au zote nyuma... AU LA UWEKE MBELE KWA NYUMA NYINGINE LABDA NI VX NA NYINGINE LABDA PRADO
Haya nimeshakuwekea hizo picha una lingine la kusema au la kujitetea ??????????????Ungeweka picha za gari tofaouti namba moja zote zionekane mbele tu au nyuma tu... Unaponiwekea picha moja ya mbele na nyingine ya nyuma NIKIKUAMBIA NI GARI MOJA ILA UMEPIGA PICHA MBELE NA NYUMA UTABISHA? Clear my doubt kwa kuniwekea picha za gari hizo zote mbele au zote nyuma... AU LA UWEKE MBELE KWA NYUMA NYINGINE LABDA NI VX NA NYINGINE LABDA PRADO
Ninalo sana tu....Haya nimeshakuwekea hizo picha una lingine la kusema au la kujitetea ??????????????
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Ukitaka kuyajua yote yanayofanyika ktk nchi hii utakufa kabla ya siku zako.Mengine bora ukawa mtazamaji tu.Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?
Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?
Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
[emoji23][emoji23][emoji23] unafurahisha kijana yaan unabadilika kila mda mara CDM hawana hizo namba mara gari ni moja sasa hivi unaongea hayo tena mzee wa kubadili gearNinalo sana tu....
Wote CCM na CDM waamekosea kwenye hili..Usije ukadhani kwa vile CDM wamefanya hayo, basi ni halali kwa CCM kuyafanya.. TWO WRONGS......
Du hii kali..yaani J P M.ni kifupi cha huyo mtawala?Kila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?